dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Tuwaamini waliofungia vyombo vya habari au? Kwamba ili habari itoke lazima impendeze mtawala? Dunia ilishatoka huko siku nyingi sana.Kuwaamini watu ambao wanamiliki Hollywood kazi sana..... kama waliweza yale maruweruwe ya kudanganya watu kua wamepeleka binadamu wa kwanza mwezini ,kazi kama hizi mbona simpo sana hasa kwa propaganda za kifo na uhai๐๐๐๐๐๐๐๐