Kamanda anayeongoza vita dhidi ya Ukraine akamatwa, amechezea kichapo

Huyo ni Lieutenant General cheo cha juu sana cha Kijeshi aisee..
Kwanza hawa Russia hata siwaelewi ilikuwaje mpaka lieutenant General akadakwa aisee.
We kashasikia kulia kwake HIMARS hiyo na Kushoto Javelin......kaona ajisalimishe apate Kuishi Sababu Putin anawatumia mpaka Kufa hakuna Kurudi Nyumbani

Bora akakae wanasema Jela ya Magenerali ni kama Nyumba tu ya Kuishi
 
Hahahaha Yani Marekani ahangaike na propaganda uchwara kama hizo za Photoshop.

Video hii hapa,sema nayo imeeditiwa


Kuwaamini watu ambao wanamiliki Hollywood kazi sana..... kama waliweza yale maruweruwe ya kudanganya watu kua wamepeleka binadamu wa kwanza mwezini ,kazi kama hizi mbona simpo sana hasa kwa propaganda za kifo na uhaiπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…