Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!

Nakubaliana na wewe,Ila ninavyomfahamu huyu jamaa yetu ni bora shetani kuliko huyu.akija tu segerea inamhusu,Ila Kama anaweza kuandaa jeshi la kupambana na mtesi wake.

huyu shetani akiwa huko huko aliko mie pia ni mwanajeshi wake,bahati mbaya watanzania ulokole umetuzidi sana ndo maana sasa tunaongozwa na watoa roho za watu
 
Kwasababu wapo wanaomtuhumu kwa 'usalit'i, na kwa kadri nijuavyo kuhusu yanayowakuta wasaliti, na nilipomsikia mkubwa akisema "wasaliti tunajua tunawafanya nini"... Nashauri ndugu TAL abaki huko huko hata kwa miaka 5 ijayo. Mbinu inaweza kubadilika badala ya kuua mwili wataua akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu leo umeandika. Hongera sana. Ingekuwa siku zote tunaishi kama watu wa Mungu hivi sasa tungekuwa tuko mbali sana.

Kwa upande mwingine huyo YEYE ndiye anayetuonya tusijiingize kwenye maangamizo kwa mikono yetu i.e tuchukue hadhari kujikinga na madhara. Ningekuwa mimi ningejikinga kwanza baadae nikasubiri nguvu za YEYE.
Z
 
Mkuu Paskali, ungekuwa wewe ni Lissu Je ungetia mguu?
Angetia mguu in Msukuma na njaa yake bado ipo palepale. Wasiojulikana ni wauaji wa kulipwa (hitmen) ambao hulipwa baada ya kukamilisha kazi waliyotumwa. Mara zote watu wa aina hiyo huwa wana njaa Kali (siyo Pascal) ndo maana wanakubali kufanya kazi chafu kama hiyo na ikumbukwe ni miaka 3 sasa ya njaa.

Kama wangekuwa na uwezo wangemfuata wakammalize hukohuko Ubelgiji ili walipwe kitita kamili wangoje kazi nyingine kama hiyo. Wakristo tunaamini kuwa Yesu ni mwana wa Mungu na alikuja duniani kuwakomboa wanadamu lakini walio wake hawakumpokea badala yake walimuuwa Mungu Baba akiangalia.

Pamoja na ushauri mzuri wa mayalla, Mh. Lissu abaki hukohuko mpaka hali itakapokuwa muafaka maana waliotaka roho yake bado wapo na njaa yao. Mungu husaidia wanaojisaidia.
 
Watoto wa Lisu si wanasomeshwa na Acacia?

Wawe makini huko Ulaya maana Lisu amekubaliana na ushoga ,tusije tukaona picha wanaolewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Watoto wa viongozi karibia wote wamesoma na kusoma ulaya, hebu weka picha za mabwana zao hapa. Tena ukiweza weka picha ya Makongoro Nyerere na Januari tuwaone mabwana zao.
 
Lissu alipigwa Risasi na Bashite, spika anajua vizuri sana ndio maan wakamfuta ubunge.
Spika aliambiwa kabisa kuwa Lisu atapigwa risasi afe. Na ccm wote walikuwa wanajua na ndio waliratibu kila kitu.
Hata Paskali unajua vizuri sana na Watz wote wanajua hata ccm wanajua ndio mana wanendelea kumsimanga
 


Ila wasukuma mna roho ngumu sana
 
achana na huyu jamaa, hajawahi hata kupigwa ngeta itakuwa bunduki ......

Yaani mateso yote hayo aliyoyapitia Lissu bado watu wanamfanya dhihaka...Kweli labda kama huyu Mungu wa Ibrahim na Isaka si Mungu wa kweli - lakini kama ni wa kweli aisee kuna watu watapata laana nzito ya vizazi na vizazi......
 
Paskali nakupa pongezi kwa bandiko lako refu. Mimi kama mimi nasema Tundu Lisu arejee nchini japo usalama wake ni mdogo. Najua kwa sasa atakaporejea si rahisi kuuwawa tena kwa mbinu ile, ila kitakachofanyika wale wenye ile dhamira wataagiza kesi zake zianze mara moja, ili afungwe kwani tayari wameshaandika hizo hukumu. Wasiwasi wangu ni pale Lissu atakapofungwa atakutana na mazingira gani huko jela, hasa ukizingatia ulemavu alionao.

Swali langu kwa mamlaka za nchi hii, kulikuwa na lawama nyingi za kuficha nia ovu shida ya shambulio la Lisu, walikuwa wanasema Lissu alipotishiwa kushambuliwa alisema kwenye vyombo vya habari na hakuripot rasmi polisi. Leo kaandika barua rasmi kwa IGP tena barua mbili lakini hajibiwi na wale waliokuwa wanasema hakuripoti kutishiwa kwake!

Kuna waliokuwa wanasema kuwa kutibiwa kwake hakukufuata utaratibu, wala hakuandika barua kumtaarifu spika kuwa yuko wapi, hivi sasa kaandika barua 2 kwa IGP, lakini hajajibiwa! Je kwa wale wenye shaka na malalamiko ya Lisu na wale anaowatuhumu kwa hiki kinachoendelea, watashindwa kuamini malalamiko ya Lisu na anaowatuhumu? Kuna sisi tunaondelea kuamini tuhuma za Lisu na anaowatuhumu, na haya yanayoendelea ndiyo yanakazia kile tunachokiamini.
 
Hatuwashangai nyie hata mikutano yenu hamuhitaji kuandika kuomba ulinzi kama vyama vingine. Bashiru analindwa na PLATOON nzima ya ffu sijui kwa lipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…