johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.
Mambosasa amesema kuandamana siku za ibada ni kuwaletea usumbufu waumini wanaokwenda ibadani.
Agizo hilo limetoka makao makuu ya jeshi la polisi amesisitiza kamanda Mambosasa.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama!