Kamanda Mambosasa: Ni marufuku kufanya maandamano au Jogging siku za Ibada Jumapili, Jumamosi na Ijumaa!

Ushambiwa no jogging ijumaa,sabato,jpili
Mzeee kwa hiyo kama mnakikundi chenu habari ndiyo hiyo

Ova
Mimi nafanya mazoezi kazini haya yenu wa tafuta mademu kwa jogging
 
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.

Mambosasa amesema kuandamana siku za ibada ni kuwaletea usumbufu waumini wanaokwenda ibadani.

Agizo hilo limetoka makao makuu ya jeshi la polisi amesisitiza kamanda Mambosasa.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
Ni muda sasa wa hii fani iwe post ya moja kwa moja aidha olevel au advanced level luepusha waliofeli kuwa changuo pendwa kwao manake nlitegemea jogging ihamasishwe kwa maslai mapana ya covid,vitambi na kisukari ila sasa badala yake😂😂😂😂😂
 
1. Viongozi wa makanisa wamesema sasa basi wamechoka kuzika.
2. Baadhi za hospital ziko overloaded na wagonjwa wa pumu hadi wanawekwepa wagojwa kiaina maana hizo pumu zinaonekana walikua nazo tangu utotoni.
3 . Mazoezi kwa makundi yanapigwa marufuku.
 
Kinachofuata Ni kuzuia mikusanyiko ya sherehe, burudani, michezo...
 
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.

Mambosasa amesema kuandamana siku za ibada ni kuwaletea usumbufu waumini wanaokwenda ibadani.

Agizo hilo limetoka makao makuu ya jeshi la polisi amesisitiza kamanda Mambosasa.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
Akaaa yamekua hayo tena mara hii? Zimekua siyo siku za mpumziko tena ni za ibada?
 
halafu wengi humu wanajidai wana akili kuliko... wanaowaongoza.. wengi mmechemsha 😂 😂 😂 😂 .. mjifunze kusoma na kuelewa na kwenda nje ya boksi..

kulalamika mlalamike nyie.. kulaumu nyie.. mnataka nini haswaaa!!!! vitambulisho vya 2oK vipo mupate cha kufanya..
 
Back
Top Bottom