johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuzuia Mikusanyiko ipi tena, umesahau Tz sisi tunafunikwa na damu ya yesu CORONA inatuogopa.wajuba muwe mnaelewa, hapo lengo ni kuzuia mikusanyiko coz la depotivo uko around.
swali: je watanzania walio wengi ni wafanyakazi na siku za weekend ndo wako mapumziko na ndo muda wa kufanya mazoezi unawazuiaje?
muwe mnaelewa...
Ushambiwa no jogging ijumaa,sabato,jpiliHii habari umeileta kwa kuidokoa sana weka yote tujue sababu
Mfanye mazoezi ya mtu mmja mmja mzeeHawa nao sasa wamezidi kukurupuka,yaani watu wasifanye mazoez sababu ni hiyo tu?!!
Au ndo namna yao ya kuzuia mikisanyiko?!!
Aaagh sasa wanatuchanganya,mwingine pigeni,mwingine msipige siku za ibada,mkuu fanyeni kazi sasa wanataka tufanyeje?!!!!!
Vp mazoezi ya mtu mmoja mmojaKamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo.
Mambosasa amesema kuandamana siku za ibada ni kuwaletea usumbufu waumini wanaokwenda ibadani.
Agizo hilo limetoka makao makuu ya jeshi la polisi amesisitiza kamanda Mambosasa.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama!