He is a barbarian entrusted by authority to terrorize people. He has never acted wisely at any time.Huyu siwezi kumuamini hata kidogo.
Kwenye hiyo kesi,wanaolengwa hapo ni Mdee na Bulaya, ila haya mambo mwisho wake ni kuwafanya viongozi wa upinzani na wafuasi wao kwa ujumla kuzoe Jela na hali hii ikitimia,basi tujiandae kwa maandamano na ghasia za kisiasa haya yakiwa ni matokeo ya watu kutoogopa jela na zaidi kuwa desperate hivyo kujiona hawana cha kupoteza kukaa/kwenda jela.
Baada ya hapo ndio chadema inashinda?Yupo kwenye list ya watu wanaofuata kuwekewa vikwazo na Marekani.
Omary Mahita aliyekuwa IGP wa Tanzania ambaye rekodi yake ya ukatiri haijawahi kuvunjwa , baada ya kustaafu ALIBURUZWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA AIBU ZA KUMJAZA MIMBA HOUSE GIRL WAKE MWENYEWE NA KURUKA MATUNZO YA MTOTO , bado haijafahamika kama alimbaka baada ya kumtisha na mavyeo yake ya upolisi au walikubaliana ( tunaendelea kuchunguza ) , Cheo chake hakikumsaidia wala CCM haikumsaidia , amebaki kudhalilika binafsi milele na milele , hadi kufikia waislam kuukataa msikiti alioujenga mjini Morogoro .Huyu siwezi kumuamini hata kidogo.
Kwenye hiyo kesi,wanaolengwa hapo ni Mdee na Bulaya, ila haya mambo mwisho wake ni kuwafanya viongozi wa upinzani na wafuasi wao kwa ujumla kuzoe Jela na hali hii ikitimia,basi tujiandae kwa maandamano na ghasia za kisiasa haya yakiwa ni matokeo ya watu kutoogopa jela na zaidi kuwa desperate hivyo kujiona hawana cha kupoteza kukaa/kwenda jela.
We kenge ni kinyeoUko sawa kamanda mambo sasa! Namimi nakukubari sana kamanda wangu!
Umejibu maswari yote kwa ufadaha.
Kwa ukweli
Bila chembe ya uongo.
Naamini hata mahakamani kulingana nawalichokifanya wanaenda kula mvua za ukweli ili wakirudi wakute chama kimekufa kabisa. Halima na Bulaya wanajifanya wao nividume wameenderea kufanya vitendo visivyo jadi ya watanzania sasa naona wamefika sehem wanajiona ni mwamba.
Songesha mahakamani kwa mashtaka ambayo hawaweza kuyakanusha najua hata wao watakuwa wameyaandika.
1.kwenda kumtoa mfungwa gerezani bila ridhaa ya magereza
2.kufanya funjo ndani ya eneo la magereza kwa nia ovu yakutaka wafungwa watoke.
3.kuzuia jeshi la magereza kufanya kazi zao.
Nadhani walisahau kuwa mkuu wa magereza nchini saivi ni mjeshi.
Naina miaka2 jera au faini kwa kila mmoja.
Kwani chadema ndio inawalipa mishaharaMaelezo ya bulaya ulimsukia naye akielezea?
Hapo utamuamini Nani?
Hivi ulitegemea polisi wangekuwa upande wa cdm hapo?
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hio wanajisifu kuvunja mikono wanawake, hawa wanaume wa wapi hawa.
Kazi ya askari inatakiwa uwe Na nguvu sio akiliKwa hiyo ukichana sare, unavunjwa mkono. Sawa sawa.