Kamanda Mambosasa: Upelelezi wa kesi ya wafuasi 27 wa CHADEMA wakiwemo viongozi wanaodaiwa kufanya fujo gereza la Segerea umekamilika

Kamanda Mambosasa: Upelelezi wa kesi ya wafuasi 27 wa CHADEMA wakiwemo viongozi wanaodaiwa kufanya fujo gereza la Segerea umekamilika

Huyu siwezi kumuamini hata kidogo.

Kwenye hiyo kesi,wanaolengwa hapo ni Mdee na Bulaya, ila haya mambo mwisho wake ni kuwafanya viongozi wa upinzani na wafuasi wao kwa ujumla kuzoe Jela na hali hii ikitimia,basi tujiandae kwa maandamano na ghasia za kisiasa haya yakiwa ni matokeo ya watu kutoogopa jela na zaidi kuwa desperate hivyo kujiona hawana cha kupoteza kukaa/kwenda jela.
He is a barbarian entrusted by authority to terrorize people. He has never acted wisely at any time.
 
bagamoyo, Hizi ndio zile kesi za kubambikizwa anazo zikataa Mh. Rais. Hivi kwa uelewa wangu mdogo!! Wafungwa huwa wamezungushiwa tuu ukuta au hufungiwa ndani? Maana huyu Rpc ana taka kutuaminisha kwamba kama hawa waheshimiwa wange fanikiwa kuingia pale getini basi wafungwa wange toroka. Kwanini polisi hamjengi hoja za kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu siwezi kumuamini hata kidogo.

Kwenye hiyo kesi,wanaolengwa hapo ni Mdee na Bulaya, ila haya mambo mwisho wake ni kuwafanya viongozi wa upinzani na wafuasi wao kwa ujumla kuzoe Jela na hali hii ikitimia,basi tujiandae kwa maandamano na ghasia za kisiasa haya yakiwa ni matokeo ya watu kutoogopa jela na zaidi kuwa desperate hivyo kujiona hawana cha kupoteza kukaa/kwenda jela.
Omary Mahita aliyekuwa IGP wa Tanzania ambaye rekodi yake ya ukatiri haijawahi kuvunjwa , baada ya kustaafu ALIBURUZWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA AIBU ZA KUMJAZA MIMBA HOUSE GIRL WAKE MWENYEWE NA KURUKA MATUNZO YA MTOTO , bado haijafahamika kama alimbaka baada ya kumtisha na mavyeo yake ya upolisi au walikubaliana ( tunaendelea kuchunguza ) , Cheo chake hakikumsaidia wala CCM haikumsaidia , amebaki kudhalilika binafsi milele na milele , hadi kufikia waislam kuukataa msikiti alioujenga mjini Morogoro .

Lazaro Mambosasa aichukue changamoto hii ya Mahita kama funzo kwake , leo Mahita hakuna mahali anapoheshimiwa , hata chama chake cha ccm kilimbwaga kwenye kura za maoni .
 
Uko sawa kamanda mambo sasa! Namimi nakukubari sana kamanda wangu!
Umejibu maswari yote kwa ufadaha.
Kwa ukweli
Bila chembe ya uongo.
Naamini hata mahakamani kulingana nawalichokifanya wanaenda kula mvua za ukweli ili wakirudi wakute chama kimekufa kabisa. Halima na Bulaya wanajifanya wao nividume wameenderea kufanya vitendo visivyo jadi ya watanzania sasa naona wamefika sehem wanajiona ni mwamba.
Songesha mahakamani kwa mashtaka ambayo hawaweza kuyakanusha najua hata wao watakuwa wameyaandika.
1.kwenda kumtoa mfungwa gerezani bila ridhaa ya magereza
2.kufanya funjo ndani ya eneo la magereza kwa nia ovu yakutaka wafungwa watoke.
3.kuzuia jeshi la magereza kufanya kazi zao.
Nadhani walisahau kuwa mkuu wa magereza nchini saivi ni mjeshi.
Naina miaka2 jera au faini kwa kila mmoja.
We kenge ni kinyeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angeonyesha video au hilo shati lililochanwa ingeleta sound kidogo.
Hakuna mwenye akili timamu aanze kumchania shati askari. Polisi wafanyapo Kazi Wawe wanarecord video kupata ushahid
 
Kauli ya m/kiti inamponza Halima na Bulaya

Natamani mrithi wangu badala yangu atoke bawacha

Kuanzia hapo Halima na Bulaya wameanza ukamanda mapema tu
Tatizo sasa ukisha kula cha Arusha ahaa kila mtu kwako ni mtoto
Kaenda kuyakanyaga Segerea
Lakini sisi makamanda tumepata funzo ya kwamba hatuna jeshi lege lege Tanzania ukileta za kuleta wanakuzima kama mshumaa

Pole sana makamanda wadada
Nimeshuhudia kwa macho yangu makamanda wa kiume wako kwenye mitandao wanacharaza mikwala wadada makamanda wa m/kiti wanapambana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilichomuuma yeye ni kuchanika sare na sio kuvunja watu mikono.
 
CORONA inabidi ifike Tanzania maana serikali ya awamu ya tano imezidi baadala ya kuanza kuweka mazingira mazuri ya kupambana na CORONA wao kila siku ni kupambana na CHADEMA
 
Back
Top Bottom