aminangalo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 974
- 189
"Tukiwa kwenye mkutano wa hadhara maeneo ya kibo Sombetini mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga,tumejitahidi kumwokoa lakini wenzetu walijiandaa vilivyo kwa silaha za jadi.Niko na makamanda central na tayari kapewa pf3 .Mi nimebaki ili kufungua jarada lakini ocd anakataa kwa kusema mi siyo eye witness.Kinacho niuma no ukweli kwamba majeruhi tukiwa ndani ya gari la police alimwona mshambuliaji wake na kuwataka police wamkamate lakini walikataa na kututaka tufungu jarada kwanza,kingine ni gari la police kutishiwa kugongwa na gari la ccm huku wakiimba TUNAMTAKA MAWAZO name wao kukaa kimya.Tumekabidhi mapanga,nyundo,nondo name silaha zingine tulizoshambuliwa nazo
Mwanamama muongo na mnafki wa kuungaunga maneno na kupindisha ukweli naona upo na unajitahidi kupika mboyoyo."NYIE FANYENI FUJO ZENU LAKINI SIKU CHADEMA WAKIAMUA 'MTATAGA',KWANI KWA ARUSHA MMESHAVUMILIWA VYA KUTOSHA".
Arusha sombetini chadema wakatana mapanga tena wakifikiria wanamkatakata mwanaccm
Hii ni baada ya maandamano ya ccm wakitokea kwenye mkutano wao ngusero kupita maeneo ya kibo ulipokuwa unaendelea mkutano wa chadema poleni peoples
Acha uchochezi wee mjinga,
Unawachochea watu wauane wakati wewe umejificha kwenye keyboard..
Hii thread haipaswi kuwepo ni hira tupu.
Acha uchochezi wee mjinga,
Unawachochea watu wauane wakati wewe umejificha kwenye keyboard..