Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,944
Mapanga ya kuchora au?mpumbafu wewe,unafurahia hivyo vitendo vya kihuni wanavyofanya hao janjawidi wanaitumwa na mwigulu???? siku zenu zina hesabika na siku cdm uvumilivu ukitutoka nakuapia wewe kicheche hii nchi mtaikimbia,msidhani hatuwezi kushika mapanga!!!! ichezeeni amani lakn siku hiyo magamba hamtasalia hapa tz!
Acha uchochezi wee mjinga,
Unawachochea watu wauane wakati wewe umejificha kwenye keyboard..
Kwa tabia hii kwa nini tusihukumu kuwa CCM ni kama shetani mwenye kiu ya damu ya watu, na polisi kama wachawi wamtumukiao bwana wao shetani? Hivi hawa CCM watatuacha salama kweli mwaka 2015 na hivi vikosi vyao vya Interahamwe?
View attachment 136214
Huyu jamaa hajaonekana huko?
Acha uchochezi wee mjinga,
Unawachochea watu wauane wakati wewe umejificha kwenye keyboard..
Tumekabidhi mapanga, nyundo, nondo name silaha nyingine tulizoshambuliwa nazo
"Tukiwa kwenye mkutano wa hadhara maeneo ya kibo Sombetini mwenzetu mmoja amepigwa na kukatwa katwa mapanga,tumejitahidi kumwokoa lakini wenzetu walijiandaa vilivyo kwa silaha za jadi.
Niko na makamanda central na tayari kapewa PF3. Mi nimebaki ili kufungua jalada lakini OCD anakataa kwa kusema mi siyo eye witness.
Kinachoniuma ni ukweli kwamba majeruhi tukiwa ndani ya gari la police alimwona mshambuliaji wake na kuwataka police wamkamate lakini walikataa na kututaka tufungu jalada kwanza, kingine ni gari la police kutishiwa kugongwa na gari la CCM huku wakiimba TUNAMTAKA MAWAZO na wao kukaa kimya.
Tumekabidhi mapanga, nyundo, nondo name silaha nyingine tulizoshambuliwa nazo