Kuna kila dalili za wazi kuwa CCM nchi inawashinda, watz tuwe makini sana wasijeshindwa uchaguzi mkuu 2015 wakatuletea upuuzi wa Kibaki na Odinga. Uhai wa mtu ni wa muhimu kuliko chochote unachoweza kulinganisha nacho
Poleni sana makamanda, MUNGU awape uponyaji wa haraka
Poleni sana makamanda, MUNGU awape uponyaji wa haraka