Kamanda Mbowe ashauriwe kupokea simu, nyingi ya hizo zina jumbe zake muhimu kwa mustakabala mwema wa chama!

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.

Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:

View attachment 3188043

Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.

Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hauwawi!"

Pia soma: Kuelekea 2025 - MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi
Yupo bizz kupanga mikakati ya kumfundisha siasa Lissu . Lissu atajua Maria space sio sehemu ya kufanyia siasa
 
Nafikiri Kuna watu' wanakuza hii kitu...... Nauona mwisho mbaya wa hiki chama

Nakiona kikiibuka chama kingine either ndani yao au chama kingine Cha siasa kupata nguvu zaidi

Pia nakiona chama kilichopo madarakani kutumia udhaifu wao mdogo na migogoro iliyopo kuendeleza harakati zao...

Ni mtazamo wangu kwa ninachokiona...

Usiku mwema wadau
 
Ustaadh pokea kitoweo hicho kwa afya ya mwili na akili
 
Attachments

  • images (13) (1).jpeg
    images (13) (1).jpeg
    10.9 KB · Views: 2
Ustaadh pokea kitwe hicho kwa afya ya mwili na akili
Mambo ya Walawi 11:7-8
"Na nguruwe, kwa sababu ana kwato zilizogawanyika, naye hagungi, yeye ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."
Nguruwe wanatajwa moja kwa moja kuwa najisi kwa sababu wanakosa sifa zote mbili zinazohitajika kwa wanyama wa kula: kuwa na kwato zilizogawanyika na kuchakura.

Kumbukumbu la Torati 14:8
"Tena nguruwe, kwa sababu ana kwato, lakini hagungi, yeye kwenu ni najisi; msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao."
 
Kibaraka anapata kiwewe au mawenge gentleman?🐒

naskia anapiga vizinga mno saivi hadi wajumbe 🤣
Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.

Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:

View attachment 3188043

Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.

Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hauwawi!"

Pia soma: Kuelekea 2025 - MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi
 
Mambo ya Walawi 11:7-8
"Na nguruwe, kwa sababu ana kwato zilizogawanyika, naye hagungi, yeye ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."
Nguruwe wanatajwa moja kwa moja kuwa najisi kwa sababu wanakosa sifa zote mbili zinazohitajika kwa wanyama wa kula: kuwa na kwato zilizogawanyika na kuchakura.

Kumbukumbu la Torati 14:8
"Tena nguruwe, kwa sababu ana kwato, lakini hagungi, yeye kwenu ni najisi; msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao."
Wewe ni mlaji mzuri wa hiki kitoweo au unataka tuku punch wakati unafakamia wacha unafiq
 
Attachments

  • images (13) (1)~2.jpeg
    images (13) (1)~2.jpeg
    16.3 KB · Views: 1
Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.

Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:

View attachment 3188043

Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.

Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hauwawi!"

Pia soma: Kuelekea 2025 - MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi
Mwamba anapatikana kwenye namba za simu anazotumia kwa biashara zake.
Kwasasa namba za biashara za kisiasa kazipumzisha.
Kama huna namba za biashara zake wewe ongea na LISSU ndo mwenye muda na siasa.
 
Nafikiri Kuna watu' wanakuza hii kitu...... Nauona mwisho mbaya wa hiki chama

Nakiona kikiibuka chama kingine either ndani yao au chama kingine Cha siasa kupata nguvu zaidi

Pia nakiona chama kilichopo madarakani kutumia udhaifu wao mdogo na migogoro iliyopo kuendeleza harakati zao...

Ni mtazamo wangu kwa ninachokiona...

Usiku mwema wadau
Bila kujijua wanakiua chama chao wenyewe halafu waje waisingizie CCM. Safari hii hatutakubali kusingiziwa. Tutawanyorosha!
 
Hahaha simu yake, ana uhuru wa kupokea au kutokupokea, jitumieni hizo message team Lisu.
Tukutane kwa Box.
 
Mbowe anatumia mabilioni kuununua uenyekiti wakati Lisu hatumii pesa yeyote yeye kaamua aje kujenga chama chenye uwazi siyo kama mbowe kujipa mamlaka yote ya pesa mpaka kumdhalilisha katibu mkuu wake hajui bank kuna Akiba kiasi gani, idara ya pesa ni mbowe mwenyewe yeye ndiyo mhasibu hataki kusikia yeyote anahoji pesa za chama
 
Back
Top Bottom