Kamanda Mbowe ashauriwe kupokea simu, nyingi ya hizo zina jumbe zake muhimu kwa mustakabala mwema wa chama!

Kiongozi unapofanya mambo ya kujiaibisha lazima udharaulike tu, hakuna namna.
Katiba inamruhusu kugombea mnataka ushindi wa mezani ?

Nyie wafuasi wa Lisu akili hamna

Hamtaki demokrasia ichukue mkondo wake kwenye sanduku la kura?

Mbona mumehamaki sana Mbowe kugombea wakati ni haki yake kikatiba
 
Acha UZUZU, anapaswa kutumia busara na kupumzika kwa heshima. Atapata wapi ujasiri wa kudai ukomo wa madaraka na Katiba mpya kwa CCM ikiwa yeye mwenyewe HAVIHESHIMU?
 
Aah sawa hiyo join the chain si wajichangie wenyewe? Tunawasubiri oktoba 2025 sio mbali
Hahaha usiogope sana, Tutachanga wananchi mazombi tusio jielewa na kujitambua. October 2025, CCM huwa inashinda miaka yote, sasa sisi mnatusubiri ili iweje?

Mlitakiwa muendelee na mchakato wa kufikiria kuchukua Dola kwa chama kingine, badala ya kutusubiri sisi.

Sisi hatuna ushawishi, hatujielewi, kwanini msisajiri chenu mawakili wasomi, mtengeneze katiba bora na mchukuwe nchi October 2025, au nanyi hamjiamini huko nje mpaka muwe ndani ya CDM?
 
Acha UZUZU, anapaswa kutumia busara na kupumzika kwa heshima. Atapata wapi ujasiri wa kudai ukomo wa madaraka na Katiba mpya kwa CCM ikiwa yeye mwenyewe HAVIHESHIMU?
Kila chama kina mfumo.wake CCM katiba imeweka ukomo.ya Chadema haijaweka ukomo tatizo sio Mbowe ni katiba yenu wenyewe mliyoipitisha wenyewe mkaondoa ukomo

Msimsingizie Mbowe ni katiba yenu.mliyopitisha kwenye vikao vyenu halali

Katiba izingatiwe sio busara .Busara sio katiba
 
Kama hakuna UKOMO wa madaraka kwenye chama, ujasiri wa kuipinga CCM na viongozi wake unatoka wapi? Kwanini basi Samia asiachwe tu akatawala MILELE? Acha uzwazwa wewe
 
Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.

Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:

View attachment 3188043

Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.

Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hauwawi!"

Pia soma: Kuelekea 2025 - MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi
Kuna boya mmoja alitenguliwa ila wahuni walimpigis simu kumtonya ili ajue namna ya kuepuka ili asitenguliwe ila alivyo kauzu alikuwa hapokei simu ya asiyemjua basi aisee jamaa wakala kichwa ndiyo akaanza kuhaha kuwatafuta hahaha too late. Hilo jamaa mpaka leo ndiyo hivyo. Tatizo mbowe anadhani kila anaye msapoti lisu ni adui yake, ajifunze kila jambo lina muda wake, yeye kuongoza hiyo NGO ilishafikia mwisho
 
Hivi kweli wewe brazaj unaona huyo kijana anaye vaa kofia ndani ya kofia, hata ongea yake ya kutojiheshimu, ampigie kiongozi kama Mbowe kama anampigia teja fulani. Mbowe angalimpokea naye ningemdharau sana. Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu.

Jifunzeni kuheshimu watu ili mheshimike Vijana. Mwenyekiti wa Chadema sawa na mwenyekiti wa CCM, kwa mawazo yangu.
 
Kuna boya mmoja alitenguliwa ila wahuni walimpigis simu kumtonya ili ajue namna ya kuepuka ili asitenguliwe ila alivyo kauzu alikuwa hapokei simu ya asiyemjua basi aisee jamaa wakala kichwa ndiyo akaanza kuhaha kuwatafuta hahaha too late. Hilo jamaa mpaka leo ndiyo hivyo. Tatizo mbowe anadhani kila anaye msapoti lisu ni adui yake, ajifunze kila jambo lina muda wake, yeye kuongoza hiyo NGO ilishafikia mwisho
Umeandika ujinga tu
Mtumie meseji kama una lolote la maana atasoma kwani lazima kumpigia simu?
Sio lazima kupiga simu
 
Kwa hali inavyokuwa katika chaguzi, hadi sasa tayari kila mjumbe ameshapanga atampigia nani kura. Huwezi kupatia wapiga kura wapya kupitia mdahalo. Kama ni kwa ajili ya watu wengine wasio wapiga kura kupata uelewa sawa, lakini kama ni kwa ajili ya kubadili mawazo ya mjumbe wa mkutano, hilo sahau.
Unajidanganya mkuu na nionavyo wewe hujawahi hata kupiga kura nimeshuhudia kwenye chaguzi sio mara moja watu wanabadilisha mawazo kwenye foleni ya kupiga kura kwa kupewa vipande thelathini vya ngawila
 
CHADEMA haijawahi kuwa listed kule DSE, mkitaka vyama vya wanachama nendeni mkasajiri vyakwenu.

Gftjz6eXsAAXvoY.jpeg

Kwanini nyie msiende kusajiri vyenu?
 
Unajidanganya mkuu na nionavyo wewe hujawahi hata kupiga kura
Nimeanza kupiga kura tangu 1995 nikiwa sekondari tena hata kabla umri haujatimia, sema NCCR walikuwa watoto wa mjini kabla ya CCM, wakatupigisha kura wanafunzi na wakashinda ubunge. Nimeandikisha wapiga kura kwenye BVR 2015 na 2020, nimekuwa msimamizi msaidizi wa kituo cha kura 2015 na nimekuwa msimamizi mkuu wa kituo cha kura 2020.

nimeshuhudia kwenye chaguzi sio mara moja watu wanabadilisha mawazo kwenye foleni ya kupiga kura kwa kupewa vipande thelathini vya ngawila
Hao wanaobadilisha mawazo ni wapiga kura wa mtaani au wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi?
 
Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.

Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:

View attachment 3188043

Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.

Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hauwawi!"

Pia soma: Kuelekea 2025 - MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi
ivi kwl ss watanzania tunashda mtu kaamua kuchukuwa form mwenyw wee unataka kumshaur nn? Propaganda za kishamba yetu macho kweny uchaguz ukifka tujue mbivu na mbichi
 
Nimeanza kupiga kura tangu 1995 nikiwa sekondari tena hata kabla umri haujatimia, sema NCCR walikuwa watoto wa mjini kabla ya CCM, wakatupigisha kura wanafunzi na wakashinda ubunge. Nimeandikisha wapiga kura kwenye BVR 2015 na 2020, nimekuwa msimamizi msaidizi wa kituo cha kura 2015 na nimekuwa msimamizi mkuu wa kituo cha kura 2020.

Hao wanaobadilisha mawazo ni wapiga kura wa mtaani au wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi?
Sawa DAS, sawa VEO
 
Back
Top Bottom