Kamanda Mbowe ashauriwe kupokea simu, nyingi ya hizo zina jumbe zake muhimu kwa mustakabala mwema wa chama!

Kamanda Mbowe ashauriwe kupokea simu, nyingi ya hizo zina jumbe zake muhimu kwa mustakabala mwema wa chama!

Nafikiri Kuna watu' wanakuza hii kitu...... Nauona mwisho mbaya wa hiki chama

Nakiona kikiibuka chama kingine either ndani yao au chama kingine Cha siasa kupata nguvu zaidi

Pia nakiona chama kilichopo madarakani kutumia udhaifu wao mdogo na migogoro iliyopo kuendeleza harakati zao...

Ni mtazamo wangu kwa ninachokiona...

Usiku mwema wadau

Mkuu hakuna anayekuza hili jambo zaidi ya huyu ndugu:

Gfn6YE-XkAATunC.jpeg

Hata kuwalaumu wapambe wake, hao ni njaa zao tu:

IMG_20241225_180332.jpg

Kwamba huyu ndugu nini kimemsibu?
 
Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.

Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:

View attachment 3188043

Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.

Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hawauwawi!"

Pia soma: Kuelekea 2025 - MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi
Labda yuko chimbo Lumumba anasomea mbinu mpya
 
Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.

Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:

View attachment 3188043

Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.

Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hawauwawi!"

Pia soma: Kuelekea 2025 - MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi
Atajitokeza mdahaloni.

Asipofanya hivyo, ndp basi tena
 
ivi kwl ss watanzania tunashda mtu kaamua kuchukuwa form mwenyw wee unataka kumshaur nn? Propaganda za kishamba yetu macho kweny uchaguz ukifka tujue mbivu na mbichi

Ushamba ni kutomwambia huyu ndugu kuwa ukweli kwa sababu yoyote:

GflsGohXgAAHF63.jpeg
 
Mbowe huchukua pesa ya chadema kisha kuwakopesha chadema kisha kusema ni pesa zake binafsi kakikopesha chama na kuanza kukata Deni utazani ni pesa zake kweli kumbe anawafanyia wizi ni vigumu wajue kwani idara ya fedha yupo mwenyewe hataki mtu kusogea kabsa
Kuna mchezo mchafu sn
 
Nimeanza kupiga kura tangu 1995 nikiwa sekondari tena hata kabla umri haujatimia, sema NCCR walikuwa watoto wa mjini kabla ya CCM, wakatupigisha kura wanafunzi na wakashinda ubunge. Nimeandikisha wapiga kura kwenye BVR 2015 na 2020, nimekuwa msimamizi msaidizi wa kituo cha kura 2015 na nimekuwa msimamizi mkuu wa kituo cha kura 2020.

Hao wanaobadilisha mawazo ni wapiga kura wa mtaani au wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi?

Kwani unadhani tatizo ni nani anapigiwa kura?

Tatizo anachaguliwa kiongozi wa wajumbe au wanachama.

GfuY-ekXQAAK7pI.jpeg

Kwani hujui hapo wajumbe walimchagua nani?
 
Nafikiri Kuna watu' wanakuza hii kitu...... Nauona mwisho mbaya wa hiki chama

Nakiona kikiibuka chama kingine either ndani yao au chama kingine Cha siasa kupata nguvu zaidi

Pia nakiona chama kilichopo madarakani kutumia udhaifu wao mdogo na migogoro iliyopo kuendeleza harakati zao...

Ni mtazamo wangu kwa ninachokiona...

Usiku mwema wadau
Vita ya panzi furaha ya kunguru
 
Vita ya panzi furaha ya kunguru

Ujinga wa panzi mmoja kwenye hivi very stupid war, furaha ya kunguru; ingependeza zaidi.

Kwani mwamba hajui nani anafaa zaidi hapa, au wengi wanamtaka nani?
 
Back
Top Bottom