Hahaha mtahama tu, ngoja Lisu wenu ashindwe kisha awaamulie muende wapi, maana hamuwezi kufanya maamuzi bila kuambiwa na Lisu.Wala hatuondoki humu, tutabaki dormant tu mpaka siku tumfundishe adabu huyo fisadi wenu akikosa support ya sisi wanachama na campaign zikawa failure basi atajiuzuru tu ma chama tutakurudisha kwa wapinzani halisi.
Kwahiyo HATUHAMI nyie ndio mtakimbia na huyo Mugabe wenu
Mbowe atabaki na CDM nyie mtaenda kutangatanga huko, mpaka Lisu akipata pa kwenda, nanyi mtamfuata mkafanye fujo, kelele, na mihemko yenu huko.
Mbowe alikuwa chadema bila nyie, na ataendelea kuwa chadema mkiondoka.
Hawezi kujiuzuru, kwasababu wapiga kelele mmeondoka au mmekaa kimya, au kampaign zime fail, CCM inashinda kila uchaguzi, sasa nini kitakuwa kipya?
Nyie wajuaji na wenye mihemko, kaanzisheni chama chenu mkapige kelele huko mshinde.
Nasikia mnatamani kujiunga na mzee wa ubwabwa, kwanini mkamtese mzee wa watu na fujo zenu, msajiri chama chenu, Lisu awe mwenyekiti wa kudumu.