Kamanda Mbowe ashauriwe kupokea simu, nyingi ya hizo zina jumbe zake muhimu kwa mustakabala mwema wa chama!

hiyo ni biashara yake huwezi mshauri kitu anajua anachokifanya
anzisheni chadema yenu kama mnaona ni rahisi
Kwani Mbowe kaijenga peke yake? Chama kimejengwa na wengi ingawa idara ya pesa mbowe yupo peke yake hata katibu mkuu hana mamraka juu ya pesa za chama, yaani mbowe anaendesha chama kama Duka lake, saccos binafsi
 
Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.

Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:

View attachment 3188043

Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.

Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hawauwawi!"

Pia soma: Kuelekea 2025 - MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi
Mumempiga madongo mpaka akaamua kufanya 'retreat' na bado mnaye tu? Mumeona hafai kuwa miongozi na yeye akaamua kujinyamazia, na bado mnamwandama! Nyingi watu wabaya sana!
 
Sisi tulimkataa Mbowe toka siku ya kwanza na tukamshauri asijitokeze kugombea. Mbowe amegeuka tapeli la kutupwa. Kura za 2025 atapata kwa hawo MACHAWA wake wanaompa kichwa.
 
Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.

Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:

View attachment 3188043

Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.

Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hawauwawi!"

Pia soma: Kuelekea 2025 - MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi

Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama,​

Mithali 18
18 Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu, tusubiri uchaguzi hofu ya nini?
 
Nafikiri Kuna watu' wanakuza hii kitu...... Nauona mwisho mbaya wa hiki chama

Nakiona kikiibuka chama kingine either ndani yao au chama kingine Cha siasa kupata nguvu zaidi

Pia nakiona chama kilichopo madarakani kutumia udhaifu wao mdogo na migogoro iliyopo kuendeleza harakati zao...

Ni mtazamo wangu kwa ninachokiona...

Usiku mwema wadau
Of course, Kwa maoni yangu, approach iliyotumika ilikuwa na lengo: ama akubali, ama wagawane mbao/fito. Conference ya Mbowe niliona ilikuwa covered na TBC, na wafuasi wa Lissu wakaanza kuuliza maswali: tangu lini TBC na Chadema, kuna nini? Kwa vile huwa napenda kuwa fair, nikazama You Tube kuona kama TBC wali'cover' pia conference ya Lissu. Nikakuta ni kweli wali'cover' hiyo conference. Nikaanza kujiuliza, kwa nini kwa Mbowe iwe shida, na kwa Lissu isiwe shida? Nikaona ni kwa sababu sisi mashabiki runamezea faulo ikitokea upande wetu, lakini kwa upande mwingine tunainua mkono, na ndicho kilichotokea. We're simply unfair to ourselves and to others!
 
Kwani Mbowe kaijenga peke yake? Chama kimejengwa na wengi ingawa idara ya pesa mbowe yupo peke yake hata katibu mkuu hana mamraka juu ya pesa za chama, yaani mbowe anaendesha chama kama Duka lake, saccos binafsi
iko wapi nguvu ya uma

acheni kujidanganya chadema ni ya mbowe peke yake
 
Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama,​

Mithali 18
18 Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu, tusubiri uchaguzi hofu ya nini?

Huyo anatafuta hii kitu:

GfuY-ekXQAAK7pI.jpeg

Ya nini kuandikia mate?

IMG_20241230_203552.jpg
 
Of course, Kwa maoni yangu, approach iliyotumika ilikuwa na lengo: ama akubali, ama wagawane mbao/fito. Conference ya Mbowe niliona ilikuwa covered na TBC, na wafuasi wa Lissu wakaanza kuuliza maswali: tangu lini TBC na Chadema, kuna nini? Kwa vile huwa napenda kuwa fair, nikazama You Tube kuona kama TBC wali'cover' pia conference ya Lissu. Nikakuta ni kweli wali'cover' hiyo conference. Nikaanza kujiuliza, kwa nini kwa Mbowe iwe shida, na kwa Lissu isiwe shida? Nikaona ni kwa sababu sisi mashabiki runamezea faulo ikitokea upande wetu, lakini kwa upande mwingine tunainua mkono, na ndicho kilichotokea. We're simply unfair to ourselves and to others!

Ungekuwa fair usingeacha kuliona hili:

Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025

Kwamba ilikuwa muhimu hasa Kwa huyu unayemtetea Akatokea mdahalo Ili kuweka mambo sawa.

Kwa maana hadi sasa wengine katuchanganya!
 
Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.

Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:

View attachment 3188043

Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.

Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hawauwawi!"

Pia soma: Kuelekea 2025 - MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi
Unajaza server za Jamii forum. Mambo yenu ya kupigiana simu unaanzishia uzi! Baadae huko unaweza jikuta ume88lewa
 
Mumempiga madongo mpaka akaamua kufanya 'retreat' na bado mnaye tu? Mumeona hafai kuwa miongozi na yeye akaamua kujinyamazia, na bado mnamwandama! Nyingi watu wabaya sana!

IMG_20241230_203552.jpg

Nyie wazuri Si mwambieni asikimbie wito?
 
Ngoja nikuitie wakupe mwongozo:

Nyanye Go, Lupwelo, Tlaatlaah, Erythrocytes waliomo na wasiokuwamo ikiwapendeza tafadhali.
I can confirm to you my friends politicians, JF stakeholders, ladies and gentleman,

the puppets has completely no numbers,
and therefore he can not win the Jan.22,2025, Chadema national chairmanship elections.

don't waste your time and energy chest thumbing for that :pedroP:
 
Gentleman,
mzee Lwaitama hajawahi kua na simu ya maana kwa chairman, huwa ni mizinga pesa kwa kauli ya kukopeshwa tu,

anasumbua sana huyo mzee, aache uvivu na wivu:pedroP:
Chawa wa mbowe mnafahamika na ipo mpaka miccm
 
Back
Top Bottom