Hahaha mtaweweseka sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mtaweweseka sana.
Daah!Ustaadh pokea kitoweo hicho kwa afya ya mwili na akili
Kwani Mbowe kaijenga peke yake? Chama kimejengwa na wengi ingawa idara ya pesa mbowe yupo peke yake hata katibu mkuu hana mamraka juu ya pesa za chama, yaani mbowe anaendesha chama kama Duka lake, saccos binafsihiyo ni biashara yake huwezi mshauri kitu anajua anachokifanya
anzisheni chadema yenu kama mnaona ni rahisi
Hahaha mtaweweseka sana.
Hahaha sherehe mbona watu wanafanya kila siku, ulitaka akifa yeye maisha yasimame?Bila shaka mngefanya sherehe Simba angekuwa mfu.
Mumiani wahedi nyie!
Mumempiga madongo mpaka akaamua kufanya 'retreat' na bado mnaye tu? Mumeona hafai kuwa miongozi na yeye akaamua kujinyamazia, na bado mnamwandama! Nyingi watu wabaya sana!Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.
Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:
View attachment 3188043
Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.
Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hawauwawi!"
Pia soma: Kuelekea 2025 - MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi
Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.

Mithali 18Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.
Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:
View attachment 3188043
Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.
Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hawauwawi!"
Pia soma: Kuelekea 2025 - MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi
Of course, Kwa maoni yangu, approach iliyotumika ilikuwa na lengo: ama akubali, ama wagawane mbao/fito. Conference ya Mbowe niliona ilikuwa covered na TBC, na wafuasi wa Lissu wakaanza kuuliza maswali: tangu lini TBC na Chadema, kuna nini? Kwa vile huwa napenda kuwa fair, nikazama You Tube kuona kama TBC wali'cover' pia conference ya Lissu. Nikakuta ni kweli wali'cover' hiyo conference. Nikaanza kujiuliza, kwa nini kwa Mbowe iwe shida, na kwa Lissu isiwe shida? Nikaona ni kwa sababu sisi mashabiki runamezea faulo ikitokea upande wetu, lakini kwa upande mwingine tunainua mkono, na ndicho kilichotokea. We're simply unfair to ourselves and to others!Nafikiri Kuna watu' wanakuza hii kitu...... Nauona mwisho mbaya wa hiki chama
Nakiona kikiibuka chama kingine either ndani yao au chama kingine Cha siasa kupata nguvu zaidi
Pia nakiona chama kilichopo madarakani kutumia udhaifu wao mdogo na migogoro iliyopo kuendeleza harakati zao...
Ni mtazamo wangu kwa ninachokiona...
Usiku mwema wadau
iko wapi nguvu ya umaKwani Mbowe kaijenga peke yake? Chama kimejengwa na wengi ingawa idara ya pesa mbowe yupo peke yake hata katibu mkuu hana mamraka juu ya pesa za chama, yaani mbowe anaendesha chama kama Duka lake, saccos binafsi
Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama,
Mithali 18
18 Kura hukomesha mashindano; Hukata maneno ya wakuu, tusubiri uchaguzi hofu ya nini?
iko wapi nguvu ya uma
acheni kujidanganya chadema ni ya mbowe peke yake
Of course, Kwa maoni yangu, approach iliyotumika ilikuwa na lengo: ama akubali, ama wagawane mbao/fito. Conference ya Mbowe niliona ilikuwa covered na TBC, na wafuasi wa Lissu wakaanza kuuliza maswali: tangu lini TBC na Chadema, kuna nini? Kwa vile huwa napenda kuwa fair, nikazama You Tube kuona kama TBC wali'cover' pia conference ya Lissu. Nikakuta ni kweli wali'cover' hiyo conference. Nikaanza kujiuliza, kwa nini kwa Mbowe iwe shida, na kwa Lissu isiwe shida? Nikaona ni kwa sababu sisi mashabiki runamezea faulo ikitokea upande wetu, lakini kwa upande mwingine tunainua mkono, na ndicho kilichotokea. We're simply unfair to ourselves and to others!
Unajaza server za Jamii forum. Mambo yenu ya kupigiana simu unaanzishia uzi! Baadae huko unaweza jikuta ume88lewaYasemekana kamanda Mbowe ameadimika.
Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:
View attachment 3188043
Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.
Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hawauwawi!"
Pia soma: Kuelekea 2025 - MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi
Mumempiga madongo mpaka akaamua kufanya 'retreat' na bado mnaye tu? Mumeona hafai kuwa miongozi na yeye akaamua kujinyamazia, na bado mnamwandama! Nyingi watu wabaya sana!
Unajaza server za Jamii forum. Mambo yenu ya kupigiana simu unaanzishia uzi! Baadae huko unaweza jikuta ume88lewa
I can confirm to you my friends politicians, JF stakeholders, ladies and gentleman,Ngoja nikuitie wakupe mwongozo:
Nyanye Go, Lupwelo, Tlaatlaah, Erythrocytes waliomo na wasiokuwamo ikiwapendeza tafadhali.

Gentleman,

Dunia ya leo huwezi kuitenga na nguvu ya mitandao ya kijamiiYupo bizz kupanga mikakati ya kumfundisha siasa Lissu . Lissu atajua Maria space sio sehemu ya kufanyia siasa
Chawa wa mbowe mnafahamika na ipo mpaka miccmGentleman,
mzee Lwaitama hajawahi kua na simu ya maana kwa chairman, huwa ni mizinga pesa kwa kauli ya kukopeshwa tu,
anasumbua sana huyo mzee, aache uvivu na wivu![]()