Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kwa maudhui, upo sambamba na mimi. Mimi nimesema mdahalo hautabadilisha msimamo wa mjumbe mmoja mmoja, hadi sasa kila mmoja anajua atampigia nani. Huo mdahalo labda kwa ajili ya wasio wapiga kura kuongeza maarifa ya kinachojili, na sio kubadilisha misimamo ya wajumbeKwani unadhani tatizo ni nani anapigiwa kura?
Tatizo anachaguliwa kiongozi wa wajumbe au wanachama.
Kwani hujui hapo wajumbe walimchagua nani?