Kusema hivyo simaanimishi mimi ni mwema kukuzidi wewe. Najaribu kujiweka katika hali yake, ningekuwa mimi ningefanyaje! Na yeye ni mtu anaweza ku'feel' good or bad. Mumesema hafai kwa sababu ameongoza muda mrefu, na ni kweli, na pia 'amelamba asali' (kwa hili sina ushahidi). Sasa ameamua kufanya 'retreat'. Sasa mnamtaka tena wa nini? Na huyo Dk anayesema ashauriwe kupokea simu kila siku anamrushia madongo, leo ndiyo awe na ujumbe wa kumshauri kunusuru chama? Sasa hivi ni wakati wa 'anyrhing can go'.
