Yupo bizz kupanga mikakati ya kumfundisha siasa Lissu . Lissu atajua Maria space sio sehemu ya kufanyia siasaYasemekana kamanda Mbowe ameadimika.
Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:
View attachment 3188043
Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.
Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hauwawi!"
Pia soma: Kuelekea 2025 - MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi
Ustaadh pokea kitoweo hicho kwa afya ya mwili na akiliYupo bizz kupanga mikakati ya kumfundisha siasa Lissu . Lissu atajua Maria space sio sehemu ya kufanyia siasa
Mambo ya Walawi 11:7-8Ustaadh pokea kitwe hicho kwa afya ya mwili na akili
Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.
Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:
View attachment 3188043
Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.
Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hauwawi!"
Pia soma: Kuelekea 2025 - MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi
Wewe ni mlaji mzuri wa hiki kitoweo au unataka tuku punch wakati unafakamia wacha unafiqMambo ya Walawi 11:7-8
"Na nguruwe, kwa sababu ana kwato zilizogawanyika, naye hagungi, yeye ni najisi kwenu. Nyama yao msile, wala mizoga yao msiiguse; hao ni najisi kwenu."
Nguruwe wanatajwa moja kwa moja kuwa najisi kwa sababu wanakosa sifa zote mbili zinazohitajika kwa wanyama wa kula: kuwa na kwato zilizogawanyika na kuchakura.
Kumbukumbu la Torati 14:8
"Tena nguruwe, kwa sababu ana kwato, lakini hagungi, yeye kwenu ni najisi; msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao."
Mwamba anapatikana kwenye namba za simu anazotumia kwa biashara zake.Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.
Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:
View attachment 3188043
Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.
Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hauwawi!"
Pia soma: Kuelekea 2025 - MDAHALO: Wagombea Uenyekiti wa CHADEMA kuhojiwa na Chief Odemba. Ni tarehe 18.01.2025 Jumamosi
Bila kujijua wanakiua chama chao wenyewe halafu waje waisingizie CCM. Safari hii hatutakubali kusingiziwa. Tutawanyorosha!Nafikiri Kuna watu' wanakuza hii kitu...... Nauona mwisho mbaya wa hiki chama
Nakiona kikiibuka chama kingine either ndani yao au chama kingine Cha siasa kupata nguvu zaidi
Pia nakiona chama kilichopo madarakani kutumia udhaifu wao mdogo na migogoro iliyopo kuendeleza harakati zao...
Ni mtazamo wangu kwa ninachokiona...
Usiku mwema wadau
Nadhani tumeache anahitaji privacy
CHADEMA haijawahi kuwa listed kule DSE, mkitaka vyama vya wanachama nendeni mkasajiri vyakwenu.Vunjeni ukimya ndugu zetu mmshauri huyu ndugu kwa wema tu:
View attachment 3188164
Hii siyo dalili njema.
Lissu ni chaguo la wengi.
Siasa ipi Mbowe anajua zaidi ya kuwahujumu kuwadhoofisha wale wanaowania uenyekiti wake aliojimilikisha mileleYupo bizz kupanga mikakati ya kumfundisha siasa Lissu . Lissu atajua Maria space sio sehemu ya kufanyia siasa
Mbowe anatumia mabilioni kuununua uenyekiti wakati Lisu hatumii pesa yeyote yeye kaamua aje kujenga chama chenye uwazi siyo kama mbowe kujipa mamlaka yote ya pesa mpaka kumdhalilisha katibu mkuu wake hajui bank kuna Akiba kiasi gani, idara ya pesa ni mbowe mwenyewe yeye ndiyo mhasibu hataki kusikia yeyote anahoji pesa za chamaHahaha simu yake, ana uhuru wa kupokea au kutokupokea, jitumieni hizo message team Lisu.
Tukutane kwa Box.
Ni kweli, tena kwa mbeleko ya vyombo vya dola.Bila kujijua wanakiua chama chao wenyewe halafu waje waisingizie CCM. Safari hii hatutakubali kusingiziwa. Tutawanyorosha!