Kamanda Mbowe ashauriwe kupokea simu, nyingi ya hizo zina jumbe zake muhimu kwa mustakabala mwema wa chama!

View attachment 3188770

Nyie wazuri Si mwambieni sikimbie wito?
Kusema hivyo simaanimishi mimi ni mwema kukuzidi wewe. Najaribu kujiweka katika hali yake, ningekuwa mimi ningefanyaje! Na yeye ni mtu anaweza ku'feel' good or bad. Mumesema hafai kwa sababu ameongoza muda mrefu, na ni kweli, na pia 'amelamba asali' (kwa hili sina ushahidi). Sasa ameamua kufanya 'retreat'. Sasa mnamtaka tena wa nini? Na huyo Dk anayesema ashauriwe kupokea simu kila siku anamrushia madongo, leo ndiyo awe na ujumbe wa kumshauri kunusuru chama? Sasa hivi ni wakati wa 'anyrhing can go'.
 
Chawa wa mbowe mnafahamika na ipo mpaka miccm
eti doctor,

mzee lwaitama doctor wa wapi bana wakati ni mpiga vizinga na kubip watu tu wa hapa mtaani bana?

acheni upotoshaji bana hata kama mna mihemko
 
Gentleman,
mzee Lwaitama hajawahi kua na simu ya maana kwa chairman, huwa ni mizinga pesa kwa kauli ya kukopeshwa tu,

anasumbua sana huyo mzee, aache uvivu na wivu

Mnasumbuya mzee ya CCM?
 

Ungependelea asitokee mdahalo aka aingie mitini?
 
Ungependelea asitokee mdahalo aka aingie mitini?
Ningependa ashiriki, lakini kwa hali waliyofikia sina hakika kama utakuwa na afya kwa chama chao. Kwa maoni yangu, pamoja na kwamba ningependa ashiriki, deep down in my heart, naona kama unaweza kuongeza ufa zaidi katika mgawanyiko ambao umeshajitokeza katika chama chao. In the circumstances, ni yeye mwenyewe kuamua afanye nini kuliko kushauriwa ashiriki au asishiriki.
 

Umoja wa chama ulikuwa muhimu mno kuliko mtu.

Kwa kutoliona hilo mwamba na Lipumba tofauti yao majina!
 
Mbowe ni mtulivu wa uongozi siyo yule domo kaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…