Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea?
Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT?
Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi au ngao ya taifa? Hii ndio sababu ya wewe kuachiwa ni kwa sababu hii ya mahakama kuwa na ngao ya taifa au picha ya rais wa JMT umeachiwa acha kauli za kujipaisha wakati maji yalikuwa shingoni.