Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
- #61
Watu wenye Iq ndogo mnasumbua sana.Shule ulisoma kweli ukamaliza dah! Literature ulielewa kweli? Hiki kizungu khe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wenye Iq ndogo mnasumbua sana.Shule ulisoma kweli ukamaliza dah! Literature ulielewa kweli? Hiki kizungu khe!
Naona tunakoseana heshima.Changu halijui chochote zaidi ya kuuza ile kitu
Daaah umebongoa vizuri ukisubiria upigwe la kati....kunjua mfereji upigwe naoView attachment 2155825
Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea?
Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT?
Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi au ngao ya taifa? Hii ndio sababu ya wewe kuachiwa ni kwa sababu hii ya mahakama kuwa na ngao ya taifa au picha ya rais wa JMT umeachiwa acha kauli za kujipaisha wakati maji yalikuwa shingoni.
Ukosefu wa akili ni tatizoDaaah umebongoa vizuri ukisubiria upigwe la kati....kunjua mfereji upigwe naoView attachment 2156842
Chama chakavu mmejaa vichaa sema hamjuaniUkosefu wa akili ni tatizo
Wahi matibabu.Wenzako kama wewe wapo Mirembe. Jukwaa la JF is for good minds.View attachment 2155825
Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea?
Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT?
Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi au ngao ya taifa? Hii ndio sababu ya wewe kuachiwa ni kwa sababu hii ya mahakama kuwa na ngao ya taifa au picha ya rais wa JMT umeachiwa acha kauli za kujipaisha wakati maji yalikuwa shingoni.
Ni huyo huyo.Nilidhani Kamanda Asiyechoka
🤓Ni huyo huyo.
Aliombewa na Askofu mkuu Gideon Shoo pamoja na Tundu Lissu acheni kujitoa ufahamu.Ujinga mtupu, kwani aliomba kuachiwa!?
Sasa hamkumwacha ajitetee? Kiherehere chenu cha kufanya mambo bila kufikiri, kimewatokea puani.View attachment 2155825
Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea?
Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT?
Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi au ngao ya taifa? Hii ndio sababu ya wewe kuachiwa ni kwa sababu hii ya mahakama kuwa na ngao ya taifa au picha ya rais wa JMT umeachiwa acha kauli za kujipaisha wakati maji yalikuwa shingoni.
Akumbushwe kukojoa ndiyo alale.Hakawii kufanya yake kitandani.Haya kanawe miguu upande kitandani ulale.
Hata la saba umemaliza kweli?picha ya Raisi haipo kwenye mahakama tu,hata ofisi binafsi zimewekwa!!View attachment 2155825
Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea?
Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT?
Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi au ngao ya taifa? Hii ndio sababu ya wewe kuachiwa ni kwa sababu hii ya mahakama kuwa na ngao ya taifa au picha ya rais wa JMT umeachiwa acha kauli za kujipaisha wakati maji yalikuwa shingoni.
Baada ya ushahidi kumalizika na POLISI CCM, kuabika kuaibika kwa kukosa ushahidi, iliona aibu ikafutakesi. Tunajua roho ya UOVU wa CCM bali Ingali inatamani ukatili.View attachment 2155825