Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Haya kanawe miguu upande kitandani ulale.View attachment 2155825
Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea?
Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT?
Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi au ngao ya taifa? Hii ndio sababu ya wewe kuachiwa ni kwa sababu hii ya mahakama kuwa na ngao ya taifa au picha ya rais wa JMT umeachiwa hacha kauli za kujipaisha wakati maji yalikuwa shingoni.
View attachment 2155825

Umeelewa kilochoandikwa?Ujinga mtupu, kwani aliomba kuachiwa!?
Tumia akili za ziada ndugu.kiongozi hebu tupe mwanga kidogo tupate somo..
unaposema hakuachiqa sababu aio
gaidi ila sababu mahakama
zinafanya kaz kwa kutegemea mashauri ya mkuu wa nchi maana yake ni kuwa Raisi ndo anatoa maamuzi nani afungwe nan aachiwe huru..
mi nilidhani kuwa mahakama inafata sheria zilizoekwa na miongozo..
so
We kama umeelewa inatosha.Umeelewa kilochoandikwa?
Nilidhani Kamanda AsiyechokaChangu wa Madale katika ubora wake
Hi missChangu wa Madale katika ubora wake
Yule yuko off tunapata burudani kutoka kwa Changu wa Madale original.Nilidhani Kamanda Asiyechoka
Hivi ulichokiandika umekisoma Kwanza kabla hujabonyeza enter? Unaposema mahakama inafanya kazi kwa niaba ya Raisi umeelewa umeandika nini? Kwa maana hiyo unakubali kua Kesi Ile ilikua ya mchongo maana mahakama ipo Kwa kazi za raisi. Sasa kama inafanya kazi kwa niaba ya Raisi na mbowe anakuambia yeye sio gaidi unabisha niniView attachment 2155825
Kama kweli wewe sio gaidi na tuhuma hazikuwa na uzito wa kukutia hatiani unadhani kwa nini kesi ilifikia hatua ya wewe kujitetea?
Umesahau kuwa mahakimu na majaji huwa wanafanya kazi ya kuamua mashauri na kutenda haki kwa niaba ya raisi wa JMT?
Kwa nini mahakama huwa zinakuwa na picha ya raisi au ngao ya taifa? Hii ndio sababu ya wewe kuachiwa ni kwa sababu hii ya mahakama kuwa na ngao ya taifa au picha ya rais wa JMT umeachiwa hacha kauli za kujipaisha wakati maji yalikuwa shingoni.
Who is that buddy?Nilidhani Kamanda Asiyechoka
Huwezi kuelewa mpaka uwe na Iq kubwaHivi ulichokiandika umekisoma Kwanza kabla hujabonyeza enter? Unaposema mahakama inafanya kazi kwa niaba ya Raisi umeelewa umeandika nini? Kwa maana hiyo unakubali kua Kesi Ile ilikua ya mchongo maana mahakama ipo Kwa kazi za raisi. Sasa kama inafanya kazi kwa niaba ya Raisi na mbowe anakuambia yeye sio gaidi unabisha nini
๐๐๐๐haya bwanaHuwezi kuelewa mpaka uwe na Iq kubwa