Kamanda Mbowe hukuachiwa sababu wewe sio gaidi bali ni kwa sababu mahakama zinafanya kazi kwa niaba ya rais wa JMT. Acha majigambo yasiyo na manufaa.

Daaah umebongoa vizuri ukisubiria upigwe la kati....kunjua mfereji upigwe nao
 
Wahi matibabu.Wenzako kama wewe wapo Mirembe. Jukwaa la JF is for good minds.
 
Sasa hamkumwacha ajitetee? Kiherehere chenu cha kufanya mambo bila kufikiri, kimewatokea puani.
 
Shida tuliyo nayo watanzania ni kusadiki source of knowledge ni authority, Kwa vile rais ana mapolisi na mavyombo mengine ya mabavu anayoyatumia kuhakikisha utopolo wake uonekane ni absolute knowledge. Kama ni mjinga utaendelea na ujinga wako mpaka utakapojitambua kuwa unapaswa kujielimisha ili kuondoa maujinga yako. Kinyume chake akionekana mtu mwingi anajiamini sana, utasikia wajinga wanasema "Hivi huyu Mbowe anajiamini nini?" Sifa ya binadamu yeyote ni kujiamini, kama wewe umelelewa kiCCM kuwa docile and boot leaker ni maujinga yako. Watanzania tujifunze kujiamini nobody has monopoly of knowledge in this mother Tanzania. Cry my Beloved Country.
 
Hata la saba umemaliza kweli?picha ya Raisi haipo kwenye mahakama tu,hata ofisi binafsi zimewekwa!!
 
Baada ya ushahidi kumalizika na POLISI CCM, kuabika kuaibika kwa kukosa ushahidi, iliona aibu ikafutakesi. Tunajua roho ya UOVU wa CCM bali Ingali inatamani ukatili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…