Kamanda Mkubwa wa Hezbollah, Haj Abdullah Muzhim ameuawa na Mayahudi. Imeniumiza sana

Taarifa hizo hazina faida kwa nchi yetu na watanzania .
Wewe unajuaje wote ni Watanzania? Na je zako mbadala zi wapi? Nenda majukwaa yenye taarifa zenye faida kwenu. Huku tuachie sisi wa Mataifa mengine doggie weeee
 
Ila kiukweli hezbola na hamas sio magaidi ni vikundi vya wapigania uhuru kama vile ilivyokuwa ANC ya kina mandela ni vile tu propaganda za wazayuni zinabebewa mbeleko na media zao na za kibepari.
 
Wakina shaka zulu pia ingekuwa leo wangeitwa magaidi na boers.
 
Na ukristo wangu naanza kubadili mtazamo kuhusu hivi vikundi.
 
Unamtofautishaje nyerere mandela na kina nasrala? Wote malengo ni yaleyale kukomboa mataifa yao kutoka kwenye minyororo ya uonevu.
 
Ndio maana mayahudi ni haramu kuliko hata nguruwe
Myaudi ana peleka moto simchezo..iulize ile miishangazi yaki Arabu ikuambie hata ww ukijichanganya unapelekewa moto..mpaka ilo sikio la3 liwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…