Kamanda Mkuu wa HAMAS, Haythem Balidi pamoja na wasaidizi wanne wameuawa kwa shambulizi la kombora la ndege za IDF

downloadfile-12.jpg
 
Mabikra msimu huu kazi wanayo! Hao wageni wanaopokea per unit time sio poa. Seems for the first time huko peponi kuna queue ya kusubiria "zamu" maana Netanyahu anawapeleka sio mchezo.
Hahahaha 😆 😆 😆 😆 😆 😆
 
Aisee week iliyopita na wiki hii Israel imeawaua sana
Wameambiwa na Irani watoke kwenye mashimo wapewe silaha wapambane na Israel kulipiza kiasi Cha bwana Haniyeh changamoto ni kwamba Gaza Kuna drone za Israel karibu Kila pembe sasa wakitoa tu vichwa juu kutoka shimoni wanalipwa vichwa
 
Unasema Iran anawauza wadau
 
Back
Top Bottom