Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

Hivi hawa Waisrael wataua Waislam mpaka lini? Tena Viongozi
Hataki full scale war wakati anawadondosha makamanda wa Hezbollah kama kuku wa mdondo.😆
Juzi amemn’goa jicho balozi wa Iran
Yaani Israel wana Makusudi sana, wanawagusa wale Potential Leaders wote...yaani mmoja mmoja

Inna llilah
 
Anha!

Nimepata cluel ya ulichomaanisha,unajua wengi wetu hutafsiri haraka haraka tukiwaweka hao (Rumi&Yahudi) kwenye kapu moja.shukrani kwa ufafanuzi.
 
Ninachojiuliza sasa...

Ni kwanini ARAB LEAGUE isisimame kutetea nchi za Kiislam na Kiarabu katika mapambano?
 
Si tuwapeleke ritz, maghayo, webabu, faiza foxy, malaria nk wakajinyakulie mabikra 72 na mito ya pombe
Maghayo yeye aligoma na mpaka sasa amegoma hataki habari za bikra 72 wala mito ya pombe yeye anasema vyote anapiga hapa hapa kwenye mgongo wa ardhi siku akiondoka kwa baba anachojua yeye ni anaenda kuimba na kusifu tu

Nikimnukuu alisema kwamba ”Mungu wa kweli haezi ahidi viumbe wake ahadi narrow na za kufikirika kama hizo”
 
Waafrika mmezidi ujinga yaani wewe kushabikia utamaduni wa wengine ndio unaona sifa mbona wenyewe utamaduni wenu wanauona ni wa kishenzi.

Mungu akija kuiharibu hii dunia na kuumba nyingine safari hii hatafanya kosa la kuwaumba watu weusi maana hawana maana kabisa.
 
Ila Lebanon huwa sipendi kabisa iingie kwenye mgogoro na Israel niliishi hapo 2017 wakaniuzia viatu from handmade hivi havitakuja kuisha huwa naviacha na kuvirudia ni watu poa sana
Pole bro, Timbwili hilo limenasababishwa na magaidi Hezbollah wanaopenda vita na sio Lebanon. (Lebanese people.). Vita sio kitu kizuri hata siku moja ila basi tu imeshakuwa.
 
Tafaadhwali idadi ya ma HURURAIN iongezwe huko FIRIDAUSI na MNYAANZI maana mwaka huu Mnyahudi kawapeleka huko wa kutosha kwenda kufaidi ngonozembe katika viunga vya JAHNA TUL FIRDAUS. Hofu yangu Kuna wengine watakosa unono huo au mgao utapungua kutokana na demand kuongezeka
 
Yah shida ni Hezbollah na sio wa Lebanese na hata wao hawawakubali kabisa sema ndio hivyo wako pale hakuna namna
Jipe moyo, iko siku hayo yatapita na utulivu, amani vitatamalaki.
 
Mabikiraa 15 asee ameshajichagulia zake tayari kabisaa mkuuu .

Mtuu anakuwa anaamka tuuu analala na bikira mmojaaa
Safi sa JESHI LA ISRAEL 🇮🇱 WELL DONE

THE MAN START TO BENIFIT 15 VARGIN WOMEN
Aisee, acha wizi na dhulma. Ahadi tambuka Officially agreed promise ni Mabikra 72 sio 15. Kama akipewa 15 atakuwa amepunjwa/ameibiwa mabikra 57. Hilo halikubaliki ni dhuluma aisee.
 
Aisee, acha wizi na dhulma. Ahadi tambuka Officially agreed promise ni Mabikra 72 sio 15. Kama akipewa 15 atakuwa amepunjwa/ameibiwa mabikra 57. Hilo halikubaliki ni dhuluma aisee.
Mkuuu nimeomba radhi mkuu ,na ushaidi upo mkuu ,fatilia hii thread.
Narudia tena mimi Kibori Nangai naomba radhi kwa kuandika uongo wa mabikira ya huyu ndugu tajwa hapo juu.
 
So amempata mwokozi
 
Mkuuu nimeomba radhi mkuu ,na ushaidi upo mkuu ,fatilia hii thread.
Narudia tena mimi Kibori Nangai naomba radhi kwa kuandika uongo wa mabikira ya huyu ndugu tajwa hapo juu.
Ombi limekubaliwa- karibu tuendelee sasa na mjadala.
 
Kweli mkuu ila nahofia zaidi vidume wataweza kudundana katika hekaheka au kinyang'anyiro cha kugombania na kunyang'anyana huo mgao. Itakuwa tena ni balaa katika viunga vya Jahna'....
 
God Bless Israel
 
Huyu anakojoa kwa mrija sasa kinachoendelea unakijuwa atafnywa kama mnavyofanya wale mbuzi mlioagizwa na allah
haha
View: https://x.com/HamasAtrocities/status/1837496776946835855?t=lRFOaV-I5uHhU_EEUKBi3A&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…