Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

Kamanda Mkuu wa Hezbollah Ahmed Wahabi anayeongoza idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi auawa na Jeshi la Israel

Waafrika mmezidi ujinga yaani wewe kushabikia utamaduni wa wengine ndio unaona sifa mbona wenyewe utamaduni wenu wanauona ni wa kishenzi.

Mungu akija kuiharibu hii dunia na kuumba nyingine safari hii hatafanya kosa la kuwaumba watu weusi maana hawana maana kabisa.
Atanza na wewe 😄
 
Waisraeli na Waarabu wa Tandale na Buza twendeni kazi, nasikiliza maoni ya mmoja mmoja.
 
Aliwatuma kumchokoza myahudi October 7 2023 mkawa mnakata mauno mkishangilia na kubweka Allah akbar Allah akbar. Sasa hivi hata huo uthubutu wa kubweka Allah akbar Allah hamna na hata mkijikaza kubweka Allah akbar mnabweka huku mmebana marinda namikundu huku mkiwa na uchungu mkali.

Allah na mudi wameangukia pua na kula kona na kuzama chaka chezea myahudi wewe.

NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR NETANYAHU AKBAR

adriz Webabu babu na mjukuu Nyonzo bin mvule dem boy
Hata Hao wajomba zake mungu wanakufa vilevile lakini taarifa zinafichwa, hivi unajua kama galilaya hakukaliki, lkn haya huambiwi, na ndio maana kila siku maandano, we mfuasi wa kiboko ya wachawi.
 
Waisraeli siwapendi lakini nakiri wanaakili sana hawa jamaa. Ni noma aisee
 
Kwa nn maafa upande wa ISRAEL hayatangazwi..?..
Si kweli kwa all rockets zinazozushwa ndani hazina madhara..?
Huenda media hazina access ya kujua ukweli upande wa ISRAEL..
Mfano number of Israel army casualities inakisiwa kubwa 100,000 but hautangazwi ...
Al Jazeera wallmekuwa banned in Israel soil...sasa ni chombo gani huru cha wessten kinaweza kuja na ukweli upande wa ISRAEL
 
Laki 1 hiyo ni exaggeration, Israel wanajeshi hawafiki hata laki 2. Haiwezi kuwa zaidi ya nusu yake wawe majeruhi kwenyev vita ndogo hiyo.

Labda useme elfu 1
 
Mashindano ya kuwahi bikira yanaendelea

Ndugu zangu ukimuona mtu kamukataa YESU KRISTO huyu mtu mwangalie sana

Hamas na Israel hawa wote wamemkataa YESU KRISTO kwahiyo hiii ni laana yao yenyewe

Kumbuka pia uislam ni laana ukishakuwa mwisilam tiar unakuwa umelaniwa moja moja
Israel sio wote waliomkataa Yesu
Ni km sehem nyingine ambavyo tuko mchanganyiko mkuu
Pia isome vzr dini ya kiyahudi utagundua hawajamkataa Yesu
 
Laki 1 hiyo ni exaggeration, Israel wanajeshi hawafiki hata laki 2. Haiwezi kuwa zaidi ya nusu yake wawe majeruhi kwenyev vita ndogo hiyo.

Labda useme elfu 1
Brother hiyo sio vita ndogo, kumbuka hizbollah amekua akipiga kambi za jeshi tu. Kuanzia mwaka jana je unafikiri majeruhi hapo kwa karibu mwaka mzima inakuwaje? Acha wale walioingia gaza na westbank na wanaingia kwa bwebwe ndani ya vifaru bora ata wangekua wanaingia kwa miguu wanapita chocho
 
Laki 1 haiwezekani, zaidi ya nusu ya jeshi lote liwe majeruhi? Laki 1 ni namba kubwa mno.

Naposema sio vita kubwa namaanisha si vita ya nchi na nchi(jeshi rasmi). Ni Israel vs wanamgambo
Tatizo la hizi vitu kila mtu anajadili kwa ushabiki
 
Ila Lebanon huwa sipendi kabisa iingie kwenye mgogoro na Israel niliishi hapo 2017 wakaniuzia viatu from handmade hivi havitakuja kuisha huwa naviacha na kuvirudia ni watu poa sana
Mkuu ulikua mji Gani? mie nilikaa mwezi na ushee Beirut. Wakarimu na wana historia nzuri sana. Wana jirani mkorofi, ila wangekua nyutro wangekua mbali sana!
 
Imagine Israel ingekua kubwa kama Tanzania, kuanzia ardhi mpaka population ya watu.
We kweli hazikutoshi apewe Congo wacha Tanzania, bila US na Europe hana lolote huyo. Yesu alipowaita kondoo walio potea alimanisha kweli.

Afu kumbe akili zako ukubwa wa nchi ndio nguvu ya jeshi nikukuambia wewe hazikutoshi wewe na yule@imeloa ujuwe nilisha zisoma akili zenu zinafanana na Paulo yule roll model wenu.
 
Punguza jazba ustaaazi
 
Back
Top Bottom