Kamanda mpya wa Walinzi wa Mapinduzi wa Iran asema ‘milango ya kuzimu’ itafunguliwa dhidi ya Israel

Kamanda mpya wa Walinzi wa Mapinduzi wa Iran asema ‘milango ya kuzimu’ itafunguliwa dhidi ya Israel

Wadau hamjamboni nyote. Kumekucha kumekucha. June 13, 2025
Iran’s new Guards chief says ‘gates of hell’ will open on Israel

Kamanda mpya aliyeapishwa wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC), Mohammad Pakpour, ametishia kulipiza kisasi kwa kufungua “milango ya kuzimu” dhidi ya Israel kufuatia mashambulizi yaliyomuua mtangulizi wake, Hossein Salami.

"Katika kulipiza kisasi kwa damu ya makamanda wetu waliouawa, wanasayansi na raia wetu, milango ya kuzimu itafunguliwa hivi karibuni dhidi ya utawala huu wa wauaji wa watoto," amesema Pakpour akimzungumzia Israel kupitia ujumbe ulioripotiwa na shirika la habari la serikali la IRNA.
==================
The newly appointed commander of Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps, Mohammad Pakpour, threatens to open “the gates of hell” in retaliation for Israel’s attacks that killed his predecessor, Hossein Salami.

“In retribution for the blood of our fallen commanders, scientists and citizens, the gates of hell will soon be opened upon this child-killing regime,” Pakpour says of Israel in a message carried by state news agency IRNA
Rabaika
 
Anga la Iran liko wazi Israel anaingia na kutoka kama kwake, Iran kashafeli pakubwa mno kwenye hii vita, ndo maana Israel ana kiburi, kamuambia tulia nishambulie vinu vya nuclear niondoke, au jibu tufanye total war!!!! Tunasubiri Iran atafanyaje
Hapa Iran kavuliwa nguo inabidi afanye kuchutama, akisema alipize kisasi madhara yatakuwa makubwa zaidi kwake.
 
I can work under pressure, ameanza kutoa machozi huku
 
MOTO uneanza kutua Telaviv muwaombee wale Mashoga Israel mwezi huu kajichanganya kapalamia mgongo wa amza kasongo yeyeee vita ipo Telaviv
 
Safari hii wachapane basi kuliko kujibishanakwa makombora tu...
 
Kama kawaida waisrael uwa Awafi lkn wanajeruiwa tu kidogo mashoga toka lini wakawa wakweli kipondo kimeamia Telaviv live akuna chengachenga
 
ISRAEL msisaau uwa awafi kwenye Makombora ya Iran kwao mwiko Bunge la Israel limepitisha Sheria kabisa ya kuzuiya vifo kutangazwa adhalani zaid ni wanatangaza walio umia kidogo tu..
 
Back
Top Bottom