Wadau hamjamboni nyote. Kumekucha kumekucha. June 13, 2025
Iran’s new Guards chief says ‘gates of hell’ will open on Israel
Kamanda mpya aliyeapishwa wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC), Mohammad Pakpour, ametishia kulipiza kisasi kwa kufungua “milango ya kuzimu” dhidi ya Israel kufuatia mashambulizi yaliyomuua mtangulizi wake, Hossein Salami.
"Katika kulipiza kisasi kwa damu ya makamanda wetu waliouawa, wanasayansi na raia wetu, milango ya kuzimu itafunguliwa hivi karibuni dhidi ya utawala huu wa wauaji wa watoto," amesema Pakpour akimzungumzia Israel kupitia ujumbe ulioripotiwa na shirika la habari la serikali la IRNA.
==================
The newly appointed commander of Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps, Mohammad Pakpour, threatens to open “the gates of hell” in retaliation for Israel’s attacks that killed his predecessor, Hossein Salami.
“In retribution for the blood of our fallen commanders, scientists and citizens, the gates of hell will soon be opened upon this child-killing regime,” Pakpour says of Israel in a message carried by state news agency IRNA