Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
RabaikaWadau hamjamboni nyote. Kumekucha kumekucha. June 13, 2025
Iran’s new Guards chief says ‘gates of hell’ will open on Israel
Kamanda mpya aliyeapishwa wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC), Mohammad Pakpour, ametishia kulipiza kisasi kwa kufungua “milango ya kuzimu” dhidi ya Israel kufuatia mashambulizi yaliyomuua mtangulizi wake, Hossein Salami.
"Katika kulipiza kisasi kwa damu ya makamanda wetu waliouawa, wanasayansi na raia wetu, milango ya kuzimu itafunguliwa hivi karibuni dhidi ya utawala huu wa wauaji wa watoto," amesema Pakpour akimzungumzia Israel kupitia ujumbe ulioripotiwa na shirika la habari la serikali la IRNA.
==================
The newly appointed commander of Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps, Mohammad Pakpour, threatens to open “the gates of hell” in retaliation for Israel’s attacks that killed his predecessor, Hossein Salami.
“In retribution for the blood of our fallen commanders, scientists and citizens, the gates of hell will soon be opened upon this child-killing regime,” Pakpour says of Israel in a message carried by state news agency IRNA
Israel kashajipanga kitambo Sana.... Alafu Iran anga lake liko wazi Israel anaingia na kutoka tu, hawezi kutoboa hii vita🤣🤣.
Kobazi bana!
Hao ni wakristo wasiojua injili ya kweliWakristo wamejenga imani yao kwa Israeli kitu ambacho kitakuja wakosti sana kwenye imani yao
Siyo mida Iran itakuwa kama SyriaJioni hii wamepigwa tena kwenye sites zingine za nuclear naona Israel amepata mnyonge wake anajipigia Tu
Hapa Iran kavuliwa nguo inabidi afanye kuchutama, akisema alipize kisasi madhara yatakuwa makubwa zaidi kwake.Anga la Iran liko wazi Israel anaingia na kutoka kama kwake, Iran kashafeli pakubwa mno kwenye hii vita, ndo maana Israel ana kiburi, kamuambia tulia nishambulie vinu vya nuclear niondoke, au jibu tufanye total war!!!! Tunasubiri Iran atafanyaje
Iran ishawakuwa pombe ya ngomani kwa Yahudi,anajipigia tuuJioni hii wamepigwa tena kwenye sites zingine za nuclear naona Israel amepata mnyonge wake anajipigia Tu
😂😂 Watu mna mambo na vijambo humu 🤣🤣Israel kufikia july itakuwa imefutika😁
Haya matakataka yanapenda sana kangamoko! Generals never speak too much. Bure kabisa.Hata wale wa Hizbullah walikua na maneno kama haya
Kweli mkuu sasa ni wkt wa kipigo Iran ajawai kutuangusha MOTO umeamia TelavivSafari hii wachapane basi kuliko kujibishanakwa makombora tu...
Wamejenga Imani kivipi?Wakristo wamejenga imani yao kwa Israeli kitu ambacho kitakuja wakosti sana kwenye imani yao
Israel ni taifa teule na wanaoibariki wamebarikiwa kama hii si imani ni kitu gani ?Wamejenga Imani kivipi?
unacho kifutio au nikuazime cha kwenye penseli yangu?Israel kufikia july itakuwa imefutika😁