Kamanda mpya wa Walinzi wa Mapinduzi wa Iran asema ‘milango ya kuzimu’ itafunguliwa dhidi ya Israel

Hahahaha 😆
Your browser is not able to display this video.
 
Halafu kaapishwa chini ya Handaki......aisee kweli kupata kichekesho hiking bonyeza * Kisha #
 
Wangempa ukuu wa majeshi yule Mahamound Ahmadinajan aliyewahi kuwa rais, anaweza kuzitumia nuclear walizonazo kuisambaratisha Israel.
 
Wangempa ukuu wa majeshi yule Mahamound Ahmadinajan aliyewahi kuwa rais, anaweza kuzitumia nuclear walizonazo kuisambaratisha Israel.
Amezeeka Sasa
Nyakati Zinamtupa Karudi Chuoni
 
vile netanyahu anatumia kanuni ya Putin kuwapeleka kobaz kuwahi bikra 72
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…