GE2025 Kamanda Muliro: Haiwezekani kwa CHADEMA kutekeleza agenda yao ya “No Reforms No Election”

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Napinga chadema kusema watazuia uchaguzi, ila nawaunga mkono kudai reforms.

Afu haya mambo ya muhimili mmoja wa serikali kuwa mkubwa kuliko mihimili mingine nalo ni jambo la kudai reforms hata kama rais ndio boss huko kote
 
Wakuu,

Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live

Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba

hivi siku rais mwingine toka chama kingine akishika nchi, muliro na hiki kiburi chake ataenda wapi? kova yupo wapi? kwanini wasiwe na akili kama mwenzao balozi mkuu wa mkoa wa kigoma? aliwashauri sana kwamba kuna maisha baada ya upolisi.
 
Napinga chadema kusema watazuia uchaguzi, ila nawaunga mkono kudai reforms.

Afu haya mambo ya muhimili mmoja wa serikali kuwa mkubwa kuliko mihimili mingine nalo ni jambo la kudai reforms hata kama rais ndio boss huko kote
Mkuu wewe kuzuia uchaguzi unakutafasiri vipi? Leo hii ccm kila kukicha wanasogeza vikao vya kamati zao kampeni za uchaguzi zinanatakiwa kufunguliwa mwezi wa nane inawezekana kutokana na mivurugano ya ccm wenyewe ikafika wakati wakasema bora tukose wote tufanye marekebisho ya sheria za uchaguzi na uchaguzi usogezwe mbele hawajazuia apo?
 
Mpaka waseme bado hawajasema. !
Hakuna mahali Katiba imevunjwa !
Locuta causa finita 🙌👍 🤷🏿‍♂️
 
Mkuu wewe kuzuia uchaguzi unakutafasiri vipi? Leo hii ccm kila kukicha wanasogeza vikao vya kamati zao kampeni za uchaguzi zinanatakiwa kufunguliwa mwezi wa nane inawezekana kutokana na mivurugano ya ccm wenyewe ikafika wakati wakasema bora tukose wote tufanye marekebisho ya sheria za uchaguzi na uchaguzi usogezwe mbele hawajazuia apo?
Nambie Ww Unaelewa nn kusema kuzuia uchaguzi.

Sasa ccm kusogeza vikao vyao inaingiliana vp na mambo ya uchaguzi? Bc sema na uchaguzi pia utasogezwa mbele mana bado ccm hawajafanya vikao vyao.
 
Na sura lake lilivyokuwa baya kama chipanzee halafu mnampinga Charles Darwin kuwa ni Muongo binaadamu wa Africa hakuwa nyani

Kwahiyo sura ya muliro utamshawishi vipi mzungu Aweze kukubali kuwa binaadamu hakuwa nyani !?
😆😂🤣 Nitatumia picha ya J4 Murilo kufundisha evidences of the evolution of man kwa form one students.
 
Back
Top Bottom