Wakuu,
Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live
Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba
Wakuu,
Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live
Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba
Na inastahili iwe hivyo.Anandhani uchaguzi ni kupiga kura. Watajipigia kura, watajitangaza wameshinda, lakinihakutakuwa na uchaguzi
No Reform No Election.ACT nendeni mkashiriki uchaguzi wa dhuluma.Huo ndiyo ukweli. Kikundi kimoja cha wahuni wakiongozwa na waropokaji Tundu na Heche hakiwezi kuzuia uchaguzi uliopo kikatiba.
Tulisema kuwa ninkosa kubwa kuwapa uongozi wa CHADEMA waropokaji, angalia sasa chama kilichojijenga miaka zaidi ya 30 kipo mortuary. Wanasubiri postmortem tu
Wacha kufanya body shaming. Hebu na wewe weka sura yako halisi hapa tuitathmini. Isijekuwa una sura kama uchi wa sokwe jikeNa sura lake lilivyokuwa baya kama chipanzee halafu mnampinga Charles Darwin kuwa ni Muongo binaadamu wa Africa hakuwa nyani
Kwahiyo sura ya muliro utamshawishi vipi mzungu Aweze kukubali kuwa binaadamu hakuwa nyani !?
Ruto ni mpumbavu na Tapeli mkubwa.Ruto: Polisi wako trained kudeal na Wahalifu siyo kufanya parenting, mtoto asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na Ulimwengu
Aiseee! ujumbe umefikaNa sura lake lilivyokuwa baya kama chipanzee halafu mnampinga Charles Darwin kuwa ni Muongo binaadamu wa Africa hakuwa nyani
Kwahiyo sura ya muliro utamshawishi vipi mzungu Aweze kukubali kuwa binaadamu hakuwa nyani !?
Graduate wa LLB UDSM, wacha chuki za kibwegeHawa form four failure
Britanicca
Kuna utofauti mkubwa kati ya KUZUIA UCHAGUZI MKUU, KUTOSHIRIKI KWENYE UCHAGUZI MKUU NA UCHAGUZI HAUTOFANYIKA..Sasa hapo ndo wanzania wengi tunafeli kuelewa..kuna kauli hapo niza kichochezi na zingine ni za kujiengua kwenye ushindani...Wabobezi wa waswala ya kifalsa wanaweza wakasema "No reforms no election" imelenga nini zaidi.Nambie Ww Unaelewa nn kusema kuzuia uchaguzi.
Sasa ccm kusogeza vikao vyao inaingiliana vp na mambo ya uchaguzi? Bc sema na uchaguzi pia utasogezwa mbele mana bado ccm hawajafanya vikao vyao.
Sio kwahili povu itakuwa muliro anakupaka kilainishi sio BureWacha kufanya body shaming. Hebu na wewe weka sura yako halisi hapa tuitathmini. Isijekuwa una sura kama uchi wa sokwe jike
Em nyooka mzee acha taarabu, kuzuia uchaguzi maana yake nini?Kuna utofauti mkubwa kati ya KUZUIA UCHAGUZI MKUU, KUTOSHIRIKI KWENYE UCHAGUZI MKUU NA UCHAGUZI HAUTOFANYIKA..Sasa hapo ndo wanzania wengi tunafeli kuelewa..kuna kauli hapo niza kichochezi na zingine ni za kujiengua kwenye ushindani...Wabobezi wa waswala ya kifalsa wanaweza wakasema "No reforms no election" imelenga nini zaidi.
Haiwezekani, haiwezekani. Tena hiwezekani kabisa. Si Murillo tu, bali sote tunasema hivyo.Amegeuka msemaji wa serikali?
We nani?muriro siku nchi ikibadilika nenda burundi tu ukawe nzengo
Wakuu,
Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live
Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba