GE2025 Kamanda Muliro: Haiwezekani kwa CHADEMA kutekeleza agenda yao ya “No Reforms No Election”

GE2025 Kamanda Muliro: Haiwezekani kwa CHADEMA kutekeleza agenda yao ya “No Reforms No Election”

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu,

Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live

Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba


Kwani Murilo yeye ni chama gani? Maana agenda ni ya kisiasa na inahusu wanasiasa. Tulitegemea yama vingine ndio viwajibu Chadema na sio polisi 😂😂😂😂
 
Em nyooka mzee acha taarabu, kuzuia uchaguzi maana yake nini?
St Kayumba hapa..Kuzuia uchaguzi ni hali ya kufanya jambo fulani ili kuhakikisha uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika usifanyike kama ilivokuwa inatarajiwa na watu,kikundi au wananchi.
 
Wakuu,

Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live

Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba



Hawa Waandishi wana matatizo. Kwa nini hawawezi kuuliza maswali magumu ambayo ysko obvious....!?

Mfano, kuna mtu kama Sativa ambaye alitekwa, akateswa na kupigwa risasi halafu akasurvive. Huyu Bwana kaweza kumtambua moja wa watesi wake ambaye ni Mafwere. Kwa nini mpaka leo hatujadikia Mafwere amesimamishwa kazi au kukamatwa na uchnguzi dhidi yake unaendelea?

Akina Boniface Mwangi pia wameteswa na kutupwa mpakani. Lakini pia wamewatambua na kuwataja kwa majina watesi wao akiwemo Mafwere. Kwa nini hatusikii Mafwere kashikiliwa walau tu kwa mahojiano?
 
Lile somo la masese lipo wapi alipate huyu failure
 
Chombo hichihichi chanpolisi kinachotumika kukandamiza wananchi na wanaokosoa viongozi wa serikali kweli ndo tuseme ni chombo chakukisikiliza juu ya issue ya uchaguz wakat tunajuankabsa uchaguz ukifika lazma watatuumiza kuanzia kwenye michezo yakisaikolojia mpaka kutupiga virungu na mabomu au hata kutupoteza kimaisha. Hii haiwezekani kabsaa

#NoReformNoElection
#SiasaTanzania
#UpuuziUnaendelea
#TanzaniaAmka
#BackBenchers
 
Hahaha ndugu yangu hakuelewa.
Chadema hawakusema wanazuia, wao wanawaambia wanachama wao kama hakuna mabadiriko hakuna kushiriki uchaguzi.

Murilo kaingilia siasa, akumbushwe yeye siyo mwanasiasa awaachie wana siasa mambo yao ajikite kwenye kulinda amani, usalama wa raia na mali zao.
 
Wakuu,

Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live

Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba


Chadema imeshafanikisha No Reforms No elections kwa kuwa Polisi watajiandaa kuzuia maandamano ambayo Chadema wamesema watafanya siku ya uchaguzi.
Kwa hiyo Chadema watakuwa wanahimiza wananchi kutoka kwa ajili ya kuandamana na Polisi wanawazuia wasiandamane.Shughuli ya uchaguzi inakuwa imesahauliwa.
 
Napinga chadema kusema watazuia uchaguzi, ila nawaunga mkono kudai reforms.

Afu haya mambo ya muhimili mmoja wa serikali kuwa mkubwa kuliko mihimili mingine nalo ni jambo la kudai reforms hata kama rais ndio boss huko kote
Hakuna anayetaka kuzuia uchaguzi kama "REFORM" inafanyika.
Watakaozuia uchaguzi ni hao wanaokataa "REFORMS"; ni nini kigumu kueleweka haPo?
 
Chadema imeshafanikisha No Reforms No elections kwa kuwa Polisi watajiandaa kuzuia maandamano ambayo Chadema wamesema watafanya siku ya uchaguzi.
Kwa hiyo Chadema watakuwa wanahimiza wananchi kutoka kwa ajili ya kuandamana na Polisi wanawazuia wasiandamane.Shughuli ya uchaguzi inakuwa imesahauliwa.
Hiyo ni mbinu moja ya kuzuia, ikienda sambamba na mbinu nyingine zitakazotumika kuzuia uchaguzi moja kwa moja.
 
Bila Reforms ni hivi uchaguzi wa mwaka huu ni wana CCM na mapolice ndiyo mtachaguana, Sisi wananchi tunalala yaani ni siku ya bure ya kupumzika home.
Anandhani uchaguzi ni kupiga kura. Watajipigia kura, watajitangaza wameshinda, lakinihakutakuwa na uchaguzi
Nawaona akina Samia na GENGE lake wakiwasikiliza nyinyi kwa umakini mkubwa sana wakati huu.

Ikitokea kama munavyo eleza haPa, watafurahi sana.
 
Kuna mwenezi wa CCM kwenye Tume 😭😭😭 hapo katiba ibara ya 74: 14 haijavunjwa?
 
Back
Top Bottom