hivi siku rais mwingine toka chama kingine akishika nchi, muliro na hiki kiburi chake ataenda wapi? kova yupo wapi? kwanini wasiwe na akili kama mwenzao balozi mkuu wa mkoa wa kigoma? aliwashauri sana kwamba kuna maisha baada ya upolisi.Wakuu,
Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live
Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba
Mkuu wewe kuzuia uchaguzi unakutafasiri vipi? Leo hii ccm kila kukicha wanasogeza vikao vya kamati zao kampeni za uchaguzi zinanatakiwa kufunguliwa mwezi wa nane inawezekana kutokana na mivurugano ya ccm wenyewe ikafika wakati wakasema bora tukose wote tufanye marekebisho ya sheria za uchaguzi na uchaguzi usogezwe mbele hawajazuia apo?Napinga chadema kusema watazuia uchaguzi, ila nawaunga mkono kudai reforms.
Afu haya mambo ya muhimili mmoja wa serikali kuwa mkubwa kuliko mihimili mingine nalo ni jambo la kudai reforms hata kama rais ndio boss huko kote
Mpaka waseme bado hawajasema. !Napinga chadema kusema watazuia uchaguzi, ila nawaunga mkono kudai reforms.
Afu haya mambo ya muhimili mmoja wa serikali kuwa mkubwa kuliko mihimili mingine nalo ni jambo la kudai reforms hata kama rais ndio boss huko kote
Nambie Ww Unaelewa nn kusema kuzuia uchaguzi.Mkuu wewe kuzuia uchaguzi unakutafasiri vipi? Leo hii ccm kila kukicha wanasogeza vikao vya kamati zao kampeni za uchaguzi zinanatakiwa kufunguliwa mwezi wa nane inawezekana kutokana na mivurugano ya ccm wenyewe ikafika wakati wakasema bora tukose wote tufanye marekebisho ya sheria za uchaguzi na uchaguzi usogezwe mbele hawajazuia apo?
😆😂🤣 Nitatumia picha ya J4 Murilo kufundisha evidences of the evolution of man kwa form one students.Na sura lake lilivyokuwa baya kama chipanzee halafu mnampinga Charles Darwin kuwa ni Muongo binaadamu wa Africa hakuwa nyani
Kwahiyo sura ya muliro utamshawishi vipi mzungu Aweze kukubali kuwa binaadamu hakuwa nyani !?
Watu wameshachokaWakuu,
Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live
Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba
🤣🤣🤣 Hapo wanafunzi lazima wakuelewe mkuu , Kuna wakati huwa tunabisha kwasababu hatufundishwi Kwa vitendo kama hivyo😆😂🤣 Nitatumia picha ya J4 Murilo kufundisha evidences of the evolution of man kwa form one students.
CCM walishapiga kura tayariBila Reforms ni hivi uchaguzi wa mwaka huu ni wana CCM na mapolice ndiyo mtachaguana, Sisi wananchi tunalala yaani ni siku ya bure ya kupumzika home.