MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Kwani Murilo yeye ni chama gani? Maana agenda ni ya kisiasa na inahusu wanasiasa. Tulitegemea yama vingine ndio viwajibu Chadema na sio polisi 😂😂😂😂Wakuu,
Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live
Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba
Ndio wanaojitokeza hadharani kutuhabarisha kinachoendelea kiwe sahihi au si sahihi na wazee wa one ya 7 ni mafumbo tu huku mtandaoniHawa form four failure
Britanicca
St Kayumba hapa..Kuzuia uchaguzi ni hali ya kufanya jambo fulani ili kuhakikisha uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika usifanyike kama ilivokuwa inatarajiwa na watu,kikundi au wananchi.Em nyooka mzee acha taarabu, kuzuia uchaguzi maana yake nini?
Muulize wale traffic wanao chukua rushwa kwenye madaladala sisi tukiwashuhudia. Kama pale IMTU Mbezi Beach wanafuata KATIBA GANI??Wakuu,
Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live
Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba
Wakuu,
Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live
Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba
Ndicho ninachopinga mmSt Kayumba hapa..Kuzuia uchaguzi ni hali ya kufanya jambo fulani ili kuhakikisha uchaguzi uliokuwa umepangwa kufanyika usifanyike kama ilivokuwa inatarajiwa na watu,kikundi au wananchi.
namimi nipo pamoja na wewe..Ndicho ninachopinga mm
Wewe unachololewa makalio, shoga mzee aibuSio kwahili povu itakuwa muliro anakupaka kilainishi sio Bure
nhahahaah......nchi hiiiiWakuu,
Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live
Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba
Chadema imeshafanikisha No Reforms No elections kwa kuwa Polisi watajiandaa kuzuia maandamano ambayo Chadema wamesema watafanya siku ya uchaguzi.Wakuu,
Muliro anatema cheche muda huu. Yuko live
Anasema ni ngumu au highly improbable kwa CHADEMA kuzuia Uchaguzii maana kufanya hivyo ni kwenda kinyume na Katiba
Hakuna anayetaka kuzuia uchaguzi kama "REFORM" inafanyika.Napinga chadema kusema watazuia uchaguzi, ila nawaunga mkono kudai reforms.
Afu haya mambo ya muhimili mmoja wa serikali kuwa mkubwa kuliko mihimili mingine nalo ni jambo la kudai reforms hata kama rais ndio boss huko kote
Hiyo ni mbinu moja ya kuzuia, ikienda sambamba na mbinu nyingine zitakazotumika kuzuia uchaguzi moja kwa moja.Chadema imeshafanikisha No Reforms No elections kwa kuwa Polisi watajiandaa kuzuia maandamano ambayo Chadema wamesema watafanya siku ya uchaguzi.
Kwa hiyo Chadema watakuwa wanahimiza wananchi kutoka kwa ajili ya kuandamana na Polisi wanawazuia wasiandamane.Shughuli ya uchaguzi inakuwa imesahauliwa.
Bila Reforms ni hivi uchaguzi wa mwaka huu ni wana CCM na mapolice ndiyo mtachaguana, Sisi wananchi tunalala yaani ni siku ya bure ya kupumzika home.
Nawaona akina Samia na GENGE lake wakiwasikiliza nyinyi kwa umakini mkubwa sana wakati huu.Anandhani uchaguzi ni kupiga kura. Watajipigia kura, watajitangaza wameshinda, lakinihakutakuwa na uchaguzi