Huyu ndiye atakuwa kamanda atakayedhalilika zaidi baada ya kustaafu. Ajipime na wenzie walivyokuwa wa moto kwa wana Darisalama (Tibaigana, Mambosasa na Kova) umaarufu wao uko wapi na vitisho vyote.? Knachomtesa ni kiburi, vitisho, kejeli dhidi ya walipa kodi wanaofanya alipwe fedha ambazo hastahili cha mamlaka aliyopewa bila kutambua yanayeyuka kama moshi kuelekea angani bila kurejea. Amegeuka kuwa ndio IGP amri mwanzo mwisho. Nimegundua Saidi Mwema na Sirro waliongoza kidiplomasia sana.