GE2025 Kamanda Muliro: Nina uhakika kwa Jeshi hili, sidhani kama yupo anaependa kufa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sidhani kama kuna watu wanataka kuvunja amani 😀 😀 😀 😀
 
Mbona hata yeye ni suala la muda tu

Kwani yeye anaijua kesho yake?
 
Yaani kamanda anatishia kuua wananchi hivihivi na anabaki kazini?. Kweli hatuna serikali
Utasikia kapandishwa cheo, hayo maneno aliyoyatamka ndio mabosi wake wanapenda kuyasikia na mbaya zaidi kwao kuua raia asiyekuwa na hatia ni jambo la kishujaa ilawakikutana na majambazi utawaona wanavyotimua mbio.
 
Nawaoneaga huruma sana
Hawa wanabebeshwa zigo la lawama mbeleni huko wanaishi
Kwa tabu sana
Polisi hutakiwi kuwa kimbelembele sana kila unaloambiwa fanya unafanya kwa kutaka sifa

Ova
 
Hawa watu hawajifunzi kwa Omary Mahita? Mwisho aligeuka kama chizi tu
Mahita chizi au amezeeka? Miaka 80+ kutembelea mkongoja ni jambo la kawaida sema anachokifanya Mulilo kutishiana maisha sio vizuri
 
Kututisha anatutisha kwa sababu hakuna Mtanzania alie tayali kukabiliana na polisi wote tunatamboa vichochoroni
 
Yaani nife ili mtu au kundi fulani lishike dola
 
Huyu hvi anajua nachoongea au ana matatzo ya akili....hapa amedhiirisha wazi kuwa kazi yao ni kuua raia sio kuwalinda....ukisema kwa jeshi hili hakuna mtu anataka kufa....kwamna mtu akileta shida mtamuua....
 
Mpumbavu wewe, na mtekaji mkubwa huna akili hata kidogo. Ndiyo unamtishia nani? Hizo bunduki mnazoua nazo watu siyo zenu binafsi mjinga wewe. Ni pesa za kodi zetu ili zitulinde, lakini mlivyo wajinga (Form IV failures) hamjui mnachofanya, mnachojua ni kupiga mabomu ya machozi na kuteka watanzania wasio na hatia punda ninyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…