gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Mi naishi mkwajuni Kinoamiguu acha uwongo
Kwani kuishi karibu na msikiti ndo kuwa shekhe? Mm nilikuwepo sasa. Na nilishudia. Pia nilishuhudia Halima mzee akikamata kura fake kule kunduchi. Nilishuhudia pia usiku wa kuamkiq uchaguzi kule jumba la marndeleo KASULU Kigoma .Mi naishi mkwajuni Kinoamiguu acha uwongo
Ni mataahira pekee yatakwenda kushiriki huo ubatili, hata kama ni mwanaccm utakuwa mjinga kupoteza muda wako kwenda kupiga kura wakati matokeo tayari yako kwenye servers za INEC ambapo wagombea wote wa CCM watatangazwa kushinda kwa 99% narudia tena ni wapumbavu tu ndiyo watashiriki huu upumbavu.Kura tutapiga kama kawaida, na hautaamini macho yako uchaguzi huu utakuwa na wapiga kura wengi kupita chaguzi zote
MUlilo ni mpumbavu kiasi kikubwa sana sana, nimesikitishwa sana sana na matamshi yake, yasiyo ya kiungwana kabisaTukiliweza hilo, waliochanga Billioni 100, tumewamaliza! Tanganyika na rasilimali zake vitakuwa salama
So leo uchaguzi upo kasulu kigoma na kesho kinondoni mkwajuniKwani kuishi karibu na msikiti ndo kuwa shekhe? Mm nilikuwepo sasa. Na nilishudia. Pia nilishuhudia Halima mzee akikamata kura fake kule kunduchi. Nilishuhudia pia usiku wa kuamkiq uchaguzi kule jumba la marndeleo KASULU Kigoma .
Kaseme tena
Nami nimkereka sana. Hyu ni haramia mkubwa kuwahi kutokeaMUlilo ni mpumambavu kiasi kikubwa sana sana, nimesikitishwa sana sana na matamshi yake, yasiyo ya kiungwana kabisa
Huo ndo mpango mzimaTukiliweza hilo, waliochanga Billioni 100, tumewamaliza! Tanganyika na rasilimali zake vitakuwa salama
Labda kula feki,kwanza jibu mtalipata kwenye kampeniKura tutapiga kama kawaida, na hautaamini macho yako uchaguzi huu utakuwa na wapiga kura wengi kupita chaguzi zote
Lisu yuko jela mmeshindwa kumtoa ndio mtaweza kuzuia uchaguzi?Hakutakuwa na uchaguzi, na hapo ndipo watakapojua nguvu ya CHADEMA
Narudia tena, hakuna UchaguziLisu yuko jela mmeshindwa kumtoa ndio mtaweza kuzuia uchaguzi?
Hakuna mkutano wa ccm utakaokosa watu, wanachama wake pekee wanatosha kufanikisha uchaguziLabda kula feki,kwanza jibu mtalipata kwenye kampeni
Kuna mikoa Samia hatofanya kampeni ili kuepuka AibuLabda kula feki,kwanza jibu mtalipata kwenye kampeni
Uchaguzi uko kama kawaNarudia tena, hakuna Uchaguzi
Uko nyuma sana!Hakuna mkutano wa ccm utakaokosa watu, wanachama wake pekee wanatosha kufanikisha uchaguzi
Mikoa gani ebu itaje, Samia amefanya mikutano Arusha,Mbeya, Moshi, huko kote alipokelewa kwa kishindo sana, ndio mikoa inayoongoza kwa kujaza watu samia anapoitembeleaKuna mikoa Samia hatofanya kampeni ili kuepuka Aibu