GE2025 Kamanda Muliro: Nina uhakika kwa Jeshi hili, sidhani kama yupo anaependa kufa!

GE2025 Kamanda Muliro: Nina uhakika kwa Jeshi hili, sidhani kama yupo anaependa kufa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Makaa ya Mawe yanaporwa na Rostam wao wanafanya doria mitandaoni!
 
Wakuu

Akiwa anazungumza leo Agosti 20 Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Kamanda Muliro wakati anafunga hotuba yake ametoa kauli hii:

"Nina hakika kwa Jeshi hili sidhani kama yupo anaependa kufa"

Ngoja aliyekupa nafsi na roho yake aseme na wewe personal
 
Screenshot_2025-08-21-01-27-34-1.png
 
Wakuu

Akiwa anazungumza leo Agosti 20 Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Kamanda Muliro wakati anafunga hotuba yake ametoa kauli hii:

"Nina hakika kwa Jeshi hili sidhani kama yupo anaependa kufa"

Taka taka taka taka kabisaaaa 🚮🚮
 
Ukibaki na kura yako nyumbani ndo na nafasi kama za urais na wabunge nazo zitabaki wazi?..Kamwe hivyo viti haviwezi kua wazi kwahiyo itakua umesogeza tu muda wao wakuendelea kula mbele ukifikiri unawakomoa kumbe unajikomoa mwenyewe.Usipomchagua kiongozi unayemtaka wengine watakuchagulia usiyemtaka.
Hujui unacho kijua na huwezi kujuwa
 
Message zinatumwa kila siku kwamba mwananchi usidaganyike, toka nyumbani na uende ukapige kura...


Cc: Mahondaw
 
Ni mataahira pekee yatakwenda kushiriki huo ubatili, hata kama ni mwanaccm utakuwa mjinga kupoteza muda wako kwenda kupiga kura wakati matokeo tayari yako kwenye servers za INEC ambapo wagombea wote wa CCM watatangazwa kushinda kwa 99% narudia tena ni wapumbavu tu ndiyo watashiriki huu upumbavu.
Yaani nipoteze muda wangu kwenda kumpigia kura Salum Mwalimu?
 
2020 mliambiwa hata mkipiga kura kwingine, CCM ndio inaenda kuunda serikali na ikawa hivyo....basi hata msipopiga kura kabisa bado CCM ndio itaenda kuunda serikali🐼
Kwa maana hiyo ni utaahira kwenda kupiga kura wakati matokeo tayari yapo kwenye server za INEC wanasubiri tu kuyatangaza .
 
Ni mataahira pekee yatakwenda kushiriki huo ubatili, hata kama ni mwanaccm utakuwa mjinga kupoteza muda wako kwenda kupiga kura wakati matokeo tayari yako kwenye servers za INEC ambapo wagombea wote wa CCM watatangazwa kushinda kwa 99% narudia tena ni wapumbavu tu ndiyo watashiriki huu upumbavu.
Jana Polepole kathibitisha ukweli wa maneno yangu.
 
Back
Top Bottom