GE2025 Kamanda Muliro: Nina uhakika kwa Jeshi hili, sidhani kama yupo anaependa kufa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
kwa hiyo jeshi la police kazi yake sio kulinda raia tena balo kuua?
 
Kura tutapiga kama kawaida, na hautaamini macho yako uchaguzi huu utakuwa na wapiga kura wengi kupita chaguzi zote
Nini cha ajabu hapo? Mwaka 2020 kura za Magufuli na Tarimba zilipigwa siku 2 kabla pale ofisi za ccm mkwajuni!
Ulishawahi kujiuliza zile kura za MDEE kule kunduchi zilitoka wapi? Unapajua alipo yule mama aliyekamatwa nazo?
We ropoka tu
 
Ukibaki na kura yako nyumbani ndo na nafasi kama za urais na wabunge nazo zitabaki wazi?..Kamwe hivyo viti haviwezi kua wazi kwahiyo itakua umesogeza tu muda wao wakuendelea kula mbele ukifikiri unawakomoa kumbe unajikomoa mwenyewe.Usipomchagua kiongozi unayemtaka wengine watakuchagulia usiyemtaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…