GE2025 Kamanda Muliro: Nina uhakika kwa Jeshi hili, sidhani kama yupo anaependa kufa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Ndiyo sababu kubwa ya No election no reform. Kwanini watu wafe kama kweli wanaenda kuwachagua watu wanao wapenda kuwaongoza? . Tatizo linakuja pale ambapo tunalazimishia watu viongozi. Huyu afande nani kamchagua? Tujiulize
 
Sijajua kwanini wanaaminisha watu kwamba uchaguzi ni vita haiwezekani uchaguzi sio vita uchaguzi ukiwa wa haki mtu anapiga kura na kuondoka
 
Afande kamalizaa 🤣🤣🤣
anaependa kufa akaandamane
Sio mnatuhamasisha tuh alaf mnaishia kwenye cm 😃👮👮ana hakika na vijana wKe 🤣
 
Mbona vitisho vimekua vingi...kwamba watanzania wakitajiwa KUFA wanaogopa? Kwaio kumbe hua mtandao kitu kinachowasaidia ni kutishia watu kufa..
We huogopi 👮
 
Vyombo vya dola vinapaswa kubwa upande wa wananchi na sio upande wa wanasiasa.
 
Ameongea haya maneno akiwa kwenye mkutano wa Global Peace Foundation Tanzania.

Anaye sponser hii foundation ni akina nani ?
 
Hivi wale vijana waliopitia jkt wako wapi wenzetu si wamefundishwa jinsi ya kukwepa risasi
 
NARUDIA TENA
Watanzania tunachezewa akili sana ikifika kipindi cha uchaguzi, tunachezewa sana, michezo yakutishiwa tishiwa iko openly sana kutoka kwenye vyombo vya usalama. Huu ni ujinga wa hali ya juu
THIS IS BEYOND STUPIDITY
#SIASAMBOVU
#TANZANIAamka
#backbenchers
 
Dah ….

Naishiwa Pawa!

Kweli hili chupa la bia ,
 
Afande kamalizaa 🤣🤣🤣
anaependa kufa akaandamane
Sio mnatuhamasisha tuh alaf mnaishia kwenye cm 😃👮👮ana hakika na vijana wKe 🤣
Hata ukiwa chumbani na mumeo pia utakufa,kufa ni wajibu wala asimtishe mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…