Kamanda Murillo; kuhusu kushambuliwa Fr Kitima, anza na Dr Frey Edward Cosseny

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427
Angalia tweets zake hapa:-



Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.


Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.

Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018

Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe 29/04/25


Tishio jingine tarehe 28/04/25

Na kweli yametokea Padri Kitima kashambuliwa usiku wa kuamkia Mei Mosi.
 
Ngoja tuone.
 
Mambo yale yale ya Zanzibar ya Miaka ile yamerudi tena?
 
Unajitoa ufahamu siyo? Wewe hujui kuwa hii ni kazi ya serikali na Muliro analijua hili na watakamata ''mhalifu'' wa uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…