gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Hajapelekwa mahakamani?Si ameshakamatwa
apelekwe mahakamani
Hajapelekwa mahakamani?Si ameshakamatwa
apelekwe mahakamani
Huyo ni mtu wao nadhani. Amekuwa ni unguided missileHajapelekwa mahakamani?
Huyo ni mtu wao nadhani. Amekuwa ni unguided missile
Angalia tweets zake hapa:-
View attachment 3321534
Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.
View attachment 3321535
Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.
View attachment 3321537 Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018
View attachment 3321540
Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe 29/04/25
View attachment 3321541
Tishio jingine tarehe 28/04/25
Na kweli yametokea Padri Kitima kashambuliwa usiku wa kuamkia Mei Mosi.
Tuendelee kupaza sautiView attachment 3342168huyu jamaa hajafikishwa mahakamani bado?!
wangeshakamatwa. Hiv Abdul ingekua ndio kadundwa hao jamaa wangeluwa hawajakamatwaKunawatu wana haribu mambo makusudi.