Je huyu Cosseny ni nani? Ni chawa aliyetumwa au kujituma? Ni daktari wa nini?Angalia tweets zake hapa:-
View attachment 3321534
Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.
View attachment 3321535
Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.
View attachment 3321537 Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018
View attachment 3321540
Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe 29/04/25
View attachment 3321541
Tishio jingine tarehe 28/04/25
Na kweli yametokea Padri Kitima kashambuliwa usiku wa kuamkia Mei Mosi.
Maybe doktari wa vitisho na uuaji 😛 😛 😛 😛Hatujajua ni daktari wa nini
Huenda doktari wa hishima kama mazakeUle uandishi wake mbona ni kama Darasa la saba?
Halafu ni yanga pyyyuuuuAngalia tweets zake hapa:-
View attachment 3321534
Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.
View attachment 3321535
Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.
View attachment 3321537 Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018
View attachment 3321540
Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe 29/04/25
View attachment 3321541
Tishio jingine tarehe 28/04/25
Na kweli yametokea Padri Kitima kashambuliwa usiku wa kuamkia Mei Mosi.
Fan wa Yanga na mjumbe wa Kamati ta Uenezi na Uhamasishaji CCM Mkoa wa Dar es SalaamHalafu ni yanga pyyyuuuu
Kigogo2014 je? Sasa hivi ana media house. 😀 😀 😀Ila kama TCRA wakiamua kumsaka wanampata. Mbona Sukununu wa Twitter walimkamata na kumshitaki
Lakini haruhusu comments za members kwenye KigogoMedia ya TwitterKigogo2014 je? Sasa hivi ana media house. 😀 😀 😀
Ukiona hivyo, hajiaminiLakini haruhusu comments za members kwenye KigogoMedia ya Twitter
NakubalianaHuyo atakuwa ndiye master plana
Si ameshakamatwaKwa hiyo!?