Kamanda Murillo; kuhusu kushambuliwa Fr Kitima, anza na Dr Frey Edward Cosseny

Kamanda Murillo; kuhusu kushambuliwa Fr Kitima, anza na Dr Frey Edward Cosseny

Hayo ni ma parody accounts sio watu halisi

Utashangaa linaendeshwa na mwenezi wa ccm😁
Huyu mtu ni mwana CCM aliyekaribu sana na viongozi wa juu. Hata Bashite na Bashiru Ally Kakurwa Katibu Mkuu wa zamani wa CCM wanamfahamu. Angalia picha hapa

IMG-20250501-WA0026.jpg

IMG-20250501-WA0025.jpg
Hapa yupo na kinara wa WASIOJULIKANA Daud Bashite Mkuu wa Mkoa wa Arusha mwaka 2022

IMG-20250501-WA0024.jpg
Hapa yuko na Bashiru Ally Kakurwa, mtu wa karibu wa Magufuli ambaye ndiye aliyeasisi mambo ya kutekana na kuua wakosoaji.
 
Huyu mtu ni mwana CCM aliyekaribu sana na viongozi wa juu. Hata Bashite na Bashiru Ally Kakurwa Katibu Mkuu wa zamani wa CCM wanamfahamu. Angalia picha hapa

View attachment 3321624
View attachment 3321625 Hapa yupo na kinara wa WASIOJULIKANA Daud Bashite Mkuu wa Mkoa wa Arusha mwaka 2022

View attachment 3321626 Hapa yuko na Bashiru Ally Kakurwa, mtu wa karibu wa Magufuli ambaye ndiye aliyeasisi mambo ya kutekana na kuua wakosoaji.
Basi tufanye samia hausiki magufuli ndiye amemshambulia fr kutuma🤣🤣🤣
 
Angalia tweets zake hapa:-

View attachment 3321534

Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.

View attachment 3321535
Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.

View attachment 3321537 Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018
View attachment 3321540
Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe 29/04/25

View attachment 3321541
Tishio jingine tarehe 28/04/25

Na kweli yametokea Padri Kitima kashambuliwa usiku wa kuamkia Mei Mosi.
Hatoguswa kabisa
 
Hawatafanya kitu kwa sababu ni CCM..angekuwa Chama kingine hasa CDM sasa hivi asingekuwa anapumua...
Katika hali ya kawaida unafikiria kumuumiza mwenzio kwa sababu ya siasa uchwara kama hizi?....
Hii dunia ina watu ******* sana...
Huyu jamaa ni Muuaji..ni wa kumkalia kooni
 
Wanasema huyo Dr anajulikana
"Kutoka kwenye Group moja la wapenzi wa Arsenal Tanzania, nanukuu

Huyu Frey jamaa afya yake hua akili ilisha yumba siku nyingi. Alifukuzwaga kwenye kituo cha radio moja kwa haya mambo yake."
 
Back
Top Bottom