Kamanda Murillo; kuhusu kushambuliwa Fr Kitima, anza na Dr Frey Edward Cosseny

Angalia tweets zake hapa:-

View attachment 3321534

Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.

View attachment 3321535
Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.

View attachment 3321537 Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018
View attachment 3321540
Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe 29/04/25

View attachment 3321541
Tishio jingine tarehe 28/04/25

Na kweli yametokea Padri Kitima kashambuliwa usiku wa kuamkia Mei Mosi.
Sijaona kosa lolote kwa huyo jamaa, labda ufafanue kisheria
 
Basi tufanye samia hausiki magufuli ndiye amemshambulia fr kutuma🤣🤣🤣
Hilo halina ubishi, mwasisi wa kazi chafu ni Magufuli kuanzia mwaka 2017 alipomshambulia Lissu kwa risasi 16 akiwa bungeni, kuharibu uchaguzi wa S/ Mitaa wa 2019 na kuiba uchaguzi wote wa 2020 kisha kutujazia bunge la 99% CCM. Samia na watu wake wameazima ukurasa na wanapita humo humo,

Kama utabisha hili, wahi Mirembe ukaonane na Daktari wa afya ya akili.
 
Nakubali magufuli ndio katuma watu wkamshambulie fr kitima 😁😁😁
 
Angalia tweets zake hapa:-

View attachment 3321534

Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.

View attachment 3321535
Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.

View attachment 3321537 Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018
View attachment 3321540
Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe 29/04/25

View attachment 3321541
Tishio jingine tarehe 28/04/25

Na kweli yametokea Padri Kitima kashambuliwa usiku wa kuamkia Mei Mosi.
Humu vumbi linatimuka ihali kuna mvua
 
Upo uwezekano mkubwa sana kwamba huyo Mtu ni Wakala wa Watu wasiojulikana, hakuna ubishi kwenye suala hili.

Hapa alikuwa anafanya Fore Shadowing Conspiracy Propaganda ili kuwaandaa Watu kisaikolojia.
 
Angalia tweets zake hapa:-

View attachment 3321534

Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.

View attachment 3321535
Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.

View attachment 3321537 Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018
View attachment 3321540
Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe 29/04/25

View attachment 3321541
Tishio jingine tarehe 28/04/25

Na kweli yametokea Padri Kitima kashambuliwa usiku wa kuamkia Mei Mosi.
hilo tishio la FREY, mbona halifanani na hilo shambulio, key words alizotamka ni za ki-mamlaka "kufungwa jela na uhaini" inaweza isiwe na uhusiano na siasa, hawa mapadre wanaishi kama wananchi wa kawaida na wana mishe mishe za mtaani nyingi tu ambazo anaweza kujiingiza kwenye migogoro na watu wengine
 
Back
Top Bottom