Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Polisi ina mkono mrefuMtandaoni kumejaa account vinyago, watu wanatumia tu jina lolote kuendesha account
Polisi ina mkono mrefuMtandaoni kumejaa account vinyago, watu wanatumia tu jina lolote kuendesha account
Huyo hana hekima yoyote. Angekuwa na hekima angejua kuwa mwenyekiti ana uwezo wa kuwachukulia hao ''wenye malengo yao'' hatua kali sana sana ili wengine wasirudie tena."Sio kila shambulio Lina baraka za mwenyekiti!mengine ni maovu ya watu kwa malengo yao"Mwenye hekima alisikika!!
Dikteta Uchwara sasa hivi analiwa na funzaInasikitisha sana, JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Ccm ni makumaAngalia tweets zake hapa:-
View attachment 3321534
Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.
View attachment 3321535
Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.
View attachment 3321537 Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018
View attachment 3321540
Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe 29/04/25
View attachment 3321541
Tishio jingine tarehe 28/04/25
Na kweli yametokea Padri Kitima kashambuliwa usiku wa kuamkia Mei Mosi.
Yawezekana ni account ya kamanda Muliro mwenyewe.Hayo ni ma parody accounts sio watu halisi
Utashangaa linaendeshwa na mwenezi wa ccm😁
Alimnyang'anya Niwemugizi hati ya kusafiria!Inasikitisha sana, JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Ht ww mwema utaliwa na funza vile vileDikteta Uchwara sasa hivi analiwa na funza
Bado hujasema my 😂We nawe na huyo jiwe si ukazikwe naye msituchoshe hapa..!!
Kwenye jinai hakuna mipaka.Anaishi Tanzania?
Dots.. kwenye ugomvi wa walevi!?Unauliza kwa hiyo? Yaani wewe bwege huwezi kuunganisha dots?
Mtandaoni kumejaa account vinyago, watu wanatumia tu jina lolote kuendesha
account
Lakini vitisho vimezaa na matokeo tayari. Mtakana vipi kuhusika wakati tweet zinaitetea CCM kukosolewaMtandaoni kumejaa account vinyago, watu wanatumia tu jina lolote kuendesha account
Ni daktari kweli huyu mbona anatia Shaka au PhD za kina msukuma?Angalia tweets zake hapa:-
View attachment 3321534
Wanaomtambua watuthibitishie kama huyu ndiye mwenye jina.
View attachment 3321535
Yaonekana ni CCM diehard, hiyo ndiyo picha yake inayoonekana kwenye background ya akaunti yake ya twitter.
View attachment 3321537 Ni mpenzi wa Yanga na aliingia Twitter mwaka 2018
View attachment 3321540
Hilo tishio alitoa juzi Jumanne tarehe 29/04/25
View attachment 3321541
Tishio jingine tarehe 28/04/25
Na kweli yametokea Padri Kitima kashambuliwa usiku wa kuamkia Mei Mosi.
Kama aliutangazia umma na dunia kwamba chadema wanachangisha pesa ili wakanunue viruses vya EBOLA na MPOX? Na system ikakaa kimya? Unategemea nn cha maanaHalafu huyo mwenezi anajua uhalifu wote wa kidola!
Hili tukio la Dr Kitima limefanya tujue mengi!! Kama huyu.Kwa hiyo!?
Mwaka huu Mungu asipoinglia kati basi Uchafuzi Mkuu 2025 utakuwa mbaya kuliko ambavo haijawai tokea.Du hii ni hatari kweli kweli. Inanitia mashaka makubwa. Tumeshindwa kutumia njia za 4R?
Serikali ya CCM wameamua kushindana na Mungu. Matokeo yake watayaona very sooner....!!Hili tukio la Dr Kitima limefanya tujue mengi!! Kama huyu.